HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Watu wa TRA msipate pressure, mbona ni utaratibu wa kawaida na hujaanzia kwenu kuna akina Ahmet mashuhuda wa hilo Mwifwa na wengineo wengi tu baada ya kupewa barua waliambiwa watapigiwa simu, na wakapigiwa kun wengine wamesubir hadi miezi miwili kupigiwa simu nyie hata mwezi hamja maliza, mi naona mtulie waweke mambo sawa, as long ushatokea kwa pdf relax and trust the process, issue nzito zaid ni kusubir pdf upo au haupo.
 
sure upo sahihi kabisa
 
Mheshimiwa mpya
20230226_135148.jpg
 
Yeah unapangwa popote haijalishi taasis gani. Kikubwa mzee cheque no usihangaike mara sijui nataka taasis gani. Tafuta starting point mtaan Hali ni ngumu kupata Tu serikalin ni bahat na kazi ngumu hatar
Naona naibu wazir utumishi amebadilishwa mwingine
 
Watu wa TRA msipate pressure, mbona ni utaratibu wa kawaida na hujaanzia kwenu kuna akina Ahmet mashuhuda wa hilo Mwifwa na wengineo wengi tu baada ya kupewa barua waliambiwa watapigiwa simu, na wakapigiwa kun wengine wamesubir hadi miezi miwili kupigiwa simu nyie hata mwezi hamja maliza, mi naona mtulie waweke mambo sawa, as long ushatokea kwa pdf relax and trust the process, issue nzito zaid ni kusubir pdf upo au haupo.
Kwaiyo kuna wengine watatangulia kuitwa?wakati wengine wakisubiri .
 
Watu wa TRA msipate pressure, mbona ni utaratibu wa kawaida na hujaanzia kwenu kuna akina Ahmet mashuhuda wa hilo Mwifwa na wengineo wengi tu baada ya kupewa barua waliambiwa watapigiwa simu, na wakapigiwa kun wengine wamesubir hadi miezi miwili kupigiwa simu nyie hata mwezi hamja maliza, mi naona mtulie waweke mambo sawa, as long ushatokea kwa pdf relax and trust the process, issue nzito zaid ni kusubir pdf upo au haupo.
Vijana wana wenge sana
 
Hivi Tra mara hii imekuaje !? , yan barua tumefata halaf haosemi lini inatakiwa tureport , just wamesema watatupigia simu .
Hii imekaaje wakuu ??
Kuwa mpole, tayari ukeshakamilisha taratibu husika na wao wanafanyia kazi taarifa zenu. Kikubwa una uhakika wa ajira. Hata hilo haumshukuru Mungu?
 
Wadau mm hii 1700 kutoka kwenye database naona haifiki maana placements zote waliotoka kwenye database ni wachache mfano nafasi za ICT Programmer/developer TRA walikuwa nanahitaji watu 50 Ila wamechukua 37 tu kwa hiyo hapakuwa na watu database kufikisha 50? Imekaaje hapo
 
Kwani tukiachana na database watu waliopangiwa taasis si washafika 1700 this month???
 
Back
Top Bottom