mbona unatutishaPdf ipo njiani tujiandae kisaikolojia
Visual studio codeAsilimia kubwa ya IDE zinazotumikaga sana na developers zipo, unachagua unayoipenda!! Ungesema huwa unatumia IDE Gani, nikwambie kama ipo au la!!
Huo ndo ukwel siku hii haiishimbona unatutisha
Watoe tu Mtu unawaza utakuwepo kweny Placement lkn PSRS wanachelewesha unajikuta umeanza kuwa tena Hautakuwepo kweny Placement. Kifupi tushakubal matokeo Kazi kwao tuHuo ndo ukwel siku hii haiishi
si walisema soon tujiandae[emoji2][emoji2]Pdf ipo njiani tujiandae kisaikolojia
😂😂😂😂kwel kabisa mzigo leo wamechelewa sana ni keshoPdf ipo njiani tujiandae kisaikolojia
Hio soon jiandae, wala isikudanganye. wiki ya pili sasa wakiulizwa wanasema ivo 😁
😂😂😂Hio soon jiandae, wala isikudanganye. wiki ya pili sasa wakiulizwa wanasema ivo 😁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeee soon yani tusubiri maanayake ni leo PDFHio soon jiandae, wala isikudanganye. wiki ya pili sasa wakiulizwa wanasema ivo [emoji16]
umepiga oral bdo imekuandikia not selected??Wadau nisaidieni,hivi uaweza kuchaguliwa kufanya usaili wa kuandika pamoja na mahojiano,na status ikaendelea kusoma not selected?,na kama inawezekana nini kinasababisha?.
Kwamba hizi ni za ndaani, au ni kama kupiga ramli tu.Kuweni wapole mzigo unaandaliwa kwenye PDF upo tayarii
Ukiona placement ya taasisi mbalimbali itakayokuja ujue ndo huo wa soon😅
Yeah, inawezekana kabisa. Ni kitu cha kawaida sana hiki.Wadau nisaidieni,hivi uaweza kuchaguliwa kufanya usaili wa kuandika pamoja na mahojiano,na status ikaendelea kusoma not selected?,na kama inawezekana nini kinasababisha?.
Jamaa yng mkatili sn Yan unamleta mtu kwenye mkandoumepiga oral bdo imekuandikia not selected??
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jamaa yng mkatili sn Yan unamleta mtu kwenye mkando
Sasa we pale akijibiwa ndy nimepiga ORAL unahisi kuna kitu kingine zaidi ya kuandika Baba Jeni Bye Bye[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]