Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), William Lukuvi, akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Elias Wawalali na Rose Nyerere (katikati) baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndega wa Wasso, Liliondo, jana asubuhi. Rose alitua na ndege nyingine akiwa na mdogo wake anayeumwa, Mazembe...