CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,920
ukienda beach ya miami usa si utaomba uraia kabisa?!!
Copa Cabana Brazil
ukienda beach ya miami usa si utaomba uraia kabisa?!!
Nashangaa! wamevaa ma jeans shorts na laaaarge tops, they look as if they acidentaly felt in the water. Anyway... na mimi hua naenda na hijab yangu. lolhizi ndio beach watu wamevaa ma t-shirt?
View attachment 31356
Ukienda unafaidi kweli......
Hahahahah kabla hujaamua uangalie na hiki kitu...si mpenzi wa magari ya Kimarekani lakini hapa jamaa wamejitahidi sana.
Mkulu hili dude ni la Kijerumani Ni PORSCHE
View attachment 31356
Ukienda unafaidi kweli......
Vyote kwa pamoja!!unafaidi nini hapo,
Maji, mchanga au jua?
du beach mavi,kwenye kinyesi nani anapatakapale msasani nyuma ya kwa mwl.nyerere kuna beach inaitwa beach mavi.wawekezaji bado hawajaiona.
Kweli beach ni kuzuli lakini sie wenzenu wa Kawe hatufaidi beach yetu kwani mafisadi wamejenga nyumba zao na kufunga njia zote za kuendea huko beach; kuna njia moja tu pale kwa Rupia ambayo nayo itakujafungwa mwenye kiwanja akijajenga!! Nawashauri wahusika kuzuia ujenzi haramu unaoendekea Kawe beach sehemu ya Sykes close ambao hata baada ya kuzuiwa na halmashauri hawa waraabu wameendela kujenga na sasa wanajenga gate kuzuia kabisa access ya beach. Sasa wakituzuia kwenda beach vijana wetu si ndio wataanza kufanya uhalifu ; wahusika wa wilaya ya Kinondoni akiwemo Mbunge wa Kawe walifuatilie jambo hili kwani ni la hatari huko mbele lisiposhuhulikwa.
maziwa!