Imetokea loliondo

Kutokana na mwenendo wa Asenal kutokuwa shwari wazee wa Emirates Stadium wamempeleka boss wao akapige kikombe Loliondo.
 
rose.jpg Malkia wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando, amedai kupanga safari ya kwenda kijiji cha Samunge, wilayani Loliondo kukutana na Mchungaji, Ambilikile Mwasapile kwa lengo la kunywa dawa ili siku ya Tamasha la Pasaka linalotarajiwa kufanyika mwezi ujao limkute akiwa fiti.
Rose alitoa kauli hiyo hivi karibuni ndani ya Studio za Zoom Production, zilizopo Magomeni Usalama jijini Dar es Salaam anakorekodia nyimbo zake kumi kwaajili ya albamu yake ya tatu.

taarifa ya tiba za Babu huyo alikuwa na mashaka nazo lakini kadiri siku zinavyokatika ameanza kuziamini kutokana na ushuhuda za watu mbalimbali wanaohudumiwa.Endapo Rose atatekeleza adhima yake hiyo, atakuwa mwimbaji wa kwanza wa muziki huo kujitangaza kwenda kupata tiba kwa Babu wa Loliondo ambayo imekuwa ikiwagawa watumishi mbalimbali wa Mungu ambao kila mmoja amekuw akisema lake.

IMANI YAKO IKAKUPONYE DADA YETU ROSE UWE USHUHUDA.
 
Wakuu, pia msisahau kuleta picha za mlima uchafu ulioko pale na timu ya madaktari iliyokwenda kuokoa watu kwenye maajabu ya Loliondo!
dawa yenye muujiza inayotibu maradhi makubwa huku ikishindwa kuwatibu watu magonjwa ya kuhara damu..........
 
HII INANIDHIRISHA HATA KWENYE UFALME WA MBINGUN WENYE NGUVU NDIO WATAKAOFIKA HUKO..UNAWEZA ONA AHUYU BABU WA LOLIONDO WANGAPI WENYE UWEZO WA KUFIKA NA MWISHO UTAONA WOTE WANAOUMWA WAKO MAHOSPITAL NA MAJUMBAN ...NI KWELI MAISHA YA SASA KUWA NA MWILI MKUBWA SI UHAKIKA WA KUSALIMIKA NI KWELI WENGI WENYE AFYA ZAO WAMEISHA WANASUBIRI MUDA LAKINI UKWELI UTABAKI AMESHAKUNYWA KIKOMBE NA YULE ASIEJIWEZA TUTAMFANYAJE!!!!????

EMBU IFIKE SASA MNAOENDA UKO HATA KMA N ROHO MTAKATIFU MWOMBEN HUYO BABU ATAWASAIDIAJE NA HAWA WALIO MAHOSPITALINI AMBAO AWAJIWEZI AMA WAMESHAHESABIKA WAFU KWAKUWA AWANA NGUVU ZA KUJA UKO

kWAKO BABU ..TUNAOMBA HII HUDUMA IANGALIE MARA MBILI JAMANI ILI MSIWASAHAU WALE WALIO HOI MAHOSPITALINI ...ILI MBARAKA UWE KWA WOTE
 
:juggle:

PDiddy umenena...

hope in due time the new God will hear and provide for new Revelation kwa babu

Si unajua "Kila jambo na wakati wake na kusudi lake kwa wakati husika"?
 
Je umeshakaribia kabisa na uko kwenye foleni..je unaitaji kuwahi sasa akuna haja tena ya kukaa sana ukifka kwenye folen iwapo utaona mtu akiwa na sare kama za polisi usiogope kumwona wako pale kwa ajili yako wewe mwenye nguvu ni sh 2000 kwa mtu mmoja na 5000 kama n familia isiyozidi watu watatu......

Jamani hii imemkuta njomba wangu bahati mbaya na yeye n wale waaminio dawa ya babu akakataa kabisa na kuishia kuondoka baada ya siku 4..je kwa hali hii nadhan kuwe na msimamo halisi nini kinaendelea juu ya hawa maofisa wa polisi naambiwa kunawalio na nyota wanasubiri kila siku kupewa mgaowao kutoka kwa hawa wa chini..sasa nyie polisi n jana tu msemwa madaladala yenu breakdowan zenu kumbe ndio maana tunafika haraka kwa kutanua mkijua akuna atakaewagusa huu ni upuuzi lazima usitishwe haraka hata kwa bakora

kamanda wa poliisi arusha ..mh mwema msaada tafadhali kuna watu wameomba siku 5 tu kuja kunywa maji na watu wanafika na kuwakuta na kunywa maji ya uzima kwanini sis tumefwata kifo wao wawahi kunywa maji???
 
View attachment 25621Malkia wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando, amedai kupanga safari ya kwenda kijiji cha Samunge, wilayani Loliondo kukutana na Mchungaji, Ambilikile Mwasapile kwa lengo la kunywa dawa ili siku ya Tamasha la Pasaka linalotarajiwa kufanyika mwezi ujao limkute akiwa fiti.
Rose alitoa kauli hiyo hivi karibuni ndani ya Studio za Zoom Production, zilizopo Magomeni Usalama jijini Dar es Salaam anakorekodia nyimbo zake kumi kwaajili ya albamu yake ya tatu.

taarifa ya tiba za Babu huyo alikuwa na mashaka nazo lakini kadiri siku zinavyokatika ameanza kuziamini kutokana na ushuhuda za watu mbalimbali wanaohudumiwa.Endapo Rose atatekeleza adhima yake hiyo, atakuwa mwimbaji wa kwanza wa muziki huo kujitangaza kwenda kupata tiba kwa Babu wa Loliondo ambayo imekuwa ikiwagawa watumishi mbalimbali wa Mungu ambao kila mmoja amekuw akisema lake.

IMANI YAKO IKAKUPONYE DADA YETU ROSE UWE USHUHUDA.

OOOOOOOOOOOh dada yangu inaonekana kuwa wewe ni mpendwa good namuunga mkono rose...But wewe avatar yako haina upako te he tehe tehe tehe.....
 
Back
Top Bottom