Mwandishi wa Mtanzania aliyeandika JK nchi imekushinda afukuzwa

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Nimezifuma hizi katika pita pita zako hapo Habari Cooperesheni kuwa mwandishi binti mchanga kafukuzwa kisa kumchafua rais kwa makala. Mwaka huu mtaula wa chuya na sisi ndio tunasonga kuiska 2015. Hureeee piganeni nyie kwa nyie sie twachukua nchi tena walahi mtalia sana nyie
 
habari isiyokuwa na source hata itiwe vionjo kiasi gani mimi ninai-rank kama crap
 
Niliisoma hiyo makala kwenyegaziti la jana nikashituka nikajiuliza mtanzania imekuaje by the way rosemary hana makosa vipi na muhariri ?
 
Nimezifuma hizi katika pita pita zako hapo Habari Cooperesheni kuwa mwandishi binti mchanga kafukuzwa kisa kumchafua rais kwa makala. Mwaka huu mtaula wa chuya na sisi ndio tunasonga kuiska 2015. Hureeee piganeni nyie kwa nyie sie twachukua nchi tena walahi mtalia sana nyie

Source plz
 
kaka huyo binti una maslahi naye nini? naona ulivompamba Binti Mchanga. Na kama kweli ni mchanga basi hafai kutukusanyia sisi habari, aende akanyonye kwanza akisha kua asome then ndio aanze hiyo kazi.

Tatizo lingine ni kuwa baadhi ya waandishi wetu mnaiangusha fani yenu, mmelewa na sifa. Ivi dini gani ambayo haifundishi kuheshimu mamlaka? mpaka huyo Mchanga kumchafua Mr.President.
 
Yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani ndio maana tukisema hamna Elimu mnalalamika mmekalia chama cha kurithishana... mara makamba, mara mtoto wake mtaishia hivo kiama chenu chaja,

Umbea tuuu

taarifa gani hiyo

halafuuuu kumbe we dogo hivi wadau amekaribishwa huyu.
 
kaka huyo binti una maslahi naye nini? naona ulivompamba Binti Mchanga. Na kama kweli ni mchanga basi hafai kutukusanyia sisi habari, aende akanyonye kwanza akisha kua asome then ndio aanze hiyo kazi.

Tatizo lingine ni kuwa baadhi ya waandishi wetu mnaiangusha fani yenu, mmelewa na sifa. Ivi dini gani ambayo haifundishi kuheshimu mamlaka? mpaka huyo Mchanga kumchafua Mr.President.

Hakuna lolote Mzee, Tanzania viongozi hawapendi kukosiolewa au kuambiwa ukweli. Ukufanya hivyo kama wewe ni mfanyakazi lazima utapoteza kazi yako. Kama ni mfanyabiashara... .............. watahakikisha biashara zako zinakufa. Only wanasiasa ndiyo kama akina Slaa, Mbowe n.k ndiyo wanaweza kukosoa bila matatizo mengi. Mimi sioni tatizo mtu kutoa mawazo yake. Mbona tumeona waziri mkuu akienda mahali na kuwawajibisha watu bila hata kufuata sheria kuwa wameshindwa kazi. Sasa leo wao mtu akitoa maoni yake tu, anapigwa chini kazi. Huu ni ufisadi wa hali ya juu.
 
Pole sana Rosemary, karibu Mwananchi na Tanzania Daima au hata Majira uendleze mapambano.
 
Back
Top Bottom