Laki tatu imeendoka na Roho Tatu... Duh. Sasa na hawa wanaotumia simu za mamilioni itakuaje? Kama laki tatu imeendoka na Roho Tatu tu. Kazi kweli kweli
Chukua mfumo huu. Alafu walipwe kwa performance in terms of percentage of income per person depending on the activities. Weka flat rate ya percentage. Amefanya kazi ya milioni 5 kwa mwezi rate Yako let's say ni 20%. Basi calculations zinahusika. Ukiweka flat rate per head kazi haitachangamka na...
Nitakuachia rahana wee Reo dada. leo dada Hujuhi nimesoma had chuo kikuu na hapa niripo Nina cheti Cha taharuma yangu. 🤣🤣 Kwa ufupi Mimi ni msomi. Na nmefiwa na classmeti wangu. Nimesomea mambo ya Tiharahei mambo ya hushulu.
Sio
Sio walimu tu; kuna mwamba alimsokota mdada wa watu;tena inspector na cheo chake akavuta 11mil akapewa mwamba msukuma moja hivi. Akalala mbele na mpunga. Mama kaambiwa ngoja nikafanyebiashara ya Ng'ombe. Mama alihadaiwa na mapenzi moto moto; mixer ndoa na nini na nini. Cha ajabu mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.