Je Mafwele ni Mtanzania?

Je Mafwele ni Mtanzania?

Hatupombali na matamanio yetu ,kausheni mnasanua mchongo.
 
Anatokea bunda vijijini mpaka na kuna shule ya serikali imepewa jina lake huko kwao ....... primary school 😎
LOOoo!
Hiyo shule yenye jina lake,,,

Na haitashangaza miaka kdhaa atagombea ubunge huko huko!
 
Yep, ni jina la Kikerewe hilo!

Mimi nadhani kuna haja ya kuja na mpango wa kushughulika na immediate families za hawa wanaojifanya hamnazo na kumwaga damu za Watanzania wasiokuwa na hatia. Inabidi familia zao nazo zipate experience ya maisha ya hell wanayopitia watu wa familia zingine!
Kwanini umuadhibu X kwa tuhuma za Y?
 
Huyu mtu ni Mtanzania

Kwao niwapi? Mwenye CV yake atupe Ila Nina mashaka na uraia wake

Kama alivyosema CDF
Tunaacha kujadili tukio na kulikemea na tunakimbilia sasa katika Kuhojiana kuhusu Makabila yetu kana kwamba tunataka Kutambika.

Labda kwa Kukusaidia tu tena nikiwa na uhakika na najiamini kabisa ni kwamba 95% ya Makabila ya nchini Tanzania yanatoka katika Makabila ya nchini jirani na Uarabuni isipokuwa ni Kabila la Wagogo tu pekee ndiyo kwa 100% wanatoka Tanzania au ni Watanzania halisi.

Mfano Kiasili......

1. Nyerere ni damu ya Rwanda
2. Mwinyi ni damu ya Yemen
3. Mkapa ni damu ya Malawi
4. Kikwete ni damu ya Comoro
5. Magufuli ni damu ya Burundi
6. Samia ni damu ya Oman

Siku ukiwa na muda nenda pale Maktaba ya Taifa kisha omba Kitabu chenye kuelezea Asili ya Makabila yote nchini Tanzania na ukimaliza njoo hapa nawe pia utuambie Kiasili kwa Kabila lako unatokea nchi gani.

Mwisho sipendezwi na Vitendo vinavyoendelea nchini Tanzania na hata hapa JamiiForums nimeshakuwa na Threads kadhaa za Kukemea, ila nitakuwa wa mwisho kuamini kama vile wanavyoamini Wapumbavu wengine wengi (labda nawe umo) kuwa kila tukio baya linalotokea nchini Tanzania basi Afande Mafwele anahusika 100%.

Kwa mfano nikuulize tu Swali moja Wewe au Majuha mwenzako watakusaidia kukujibia kuwa kama Ndugu yake Polepole hakuwepo eneo la tukio (kaja baadae) na hata Wasaidizi wake Wawili Polepole hawakuwepo eneo la tukio kwa Siku hiyo alijuaje kuwa Nduguye katekwa na Afande Mafwele?

Kwanini baadhi ya Watanzania hampendi kuzishughulisha Akili zenu hasa katika Kufikiria nje ya Box?

Je, huyo Nduguye angekuwa na Akili sawasawa angetoa Siri kuwa Polepole ana Chip mwilini?

Huoni au hamuoni kuwa kwa Yeye Kukurupuka kusema hivi ameshahalalisha pengine Nduguye kupotea / kupotezwa mazima?

Nawaheshimu mno Watu wenu (Whistleblowers) Wakubwa Watatu Wanne hivi Tanzania, ila si lazima kila walisemalo basi kwa 100% liwe Kweli na mnachokisahau ni kwamba Wanavyozusha jambo ambalo Watanzania wengi hawalipendi kutokana na hali ilivyo sasa huwa wanatafuta Followers zaidi katika Mitandao yao ili mnavyozidi kuwa wengi kwa Kuwafuatilia basi na Wao pia wanajipatia Kipato kikubwa zaidi kutoka kwa Google huku nyie mkiendelea tu kuwa Masikini na mkimchukia kila Mtu au kila Rais ajae kutokana na Stress na Frustrations zenu za kuyakosea Maisha au kutojipanga vyema Kimaisha.
 
Acha kutetea upumbavu wewe mpumbavu

Mafweli ni jambazi kwanini kila tukio atajwe yeye tu?

Acha kutetea ujinga au na wewe Ni mtekaji?
 
Kwa Elimu kubwa niliyoitoa Kwako Mpumbavu Mwandamizi na Wengineo nilitegemea tu kuwa ungekuja kwa hizi Hasira Kwangu na najua na Wapumbavu wenzako wengine nao watakuja kwa Hasira kama Wewe hivi ila huo Ukweli niliokuambia sitoubadilisha.
 
Tunaacha kujadili tukio na kulikemea na tunakimbilia sasa katika Kuhojiana kuhusu Makabila yetu kana kwamba tunataka Kutambika.

Labda kwa Kukusaidia tu tena nikiwa na uhakika na najiamini kabisa ni kwamba 95% ya Makabila ya nchini Tanzania yanatoka katika Makabila ya nchini jirani na Uarabuni isipokuwa ni Kabila la Wagogo tu pekee ndiyo kwa 100% wanatoka Tanzania au ni Watanzania halisi.

Mfano Kiasili......

1. Nyerere ni damu ya Rwanda
2. Mwinyi ni damu ya Yemen
3. Mkapa ni damu ya Malawi
4. Kikwete ni damu ya Comoro
5. Magufuli ni damu ya Burundi
6. Samia ni damu ya Oman

Na hayo makabila Rwanda, Burundi, Malawi, Comoro, Oman na Yemen yana asili ya wapi???
Siku ukiwa na muda nenda pale Maktaba ya Taifa kisha omba Kitabu chenye kuelezea Asili ya Makabila yote nchini Tanzania na ukimaliza njoo hapa nawe pia utuambie Kiasili kwa Kabila lako unatokea nchi gani.
Weae na huyo aliyeandika hicho kitabu, WOTE MNA AKILI ZA MAVI.
 
Na hayo makabila Rwanda, Burundi, Malawi, Comoro, Oman na Yemen yana asili ya wapi???

Weae na huyo aliyeandika hicho kitabu, WOTE MNA AKILI ZA MAVI.
Kama yale yale Mavi niliyomfukua nayo Aliyekuzaa.
 
Hata wakati wa utumwa kulikuwa na watu wanawasaidia Wazungu na waarabu kuwakamata ndugu zao na kuwauza utumwani kwa vipande kwa pesa, cheo. Huyu ni mmojawapo.
Upo sahihi kabisa na umejibu vyema sana.hongera sanaa mkuu.
 
Kama yale Mavi aliyoyatoa Aliyekuzaa aliponitengea nimalize Shughuli.
Aliyekuzaa alikunya mavi, yamekujaa kichwani kwako.

Screenshot_20251002_165716_X.jpg
 
Back
Top Bottom