Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 248
- 466
Nimemuomba namba yake wiki 3 Zilizopita kilasiku Nilikua simtongozi Tunachati tu ila sasa Nimpotezee cku 2 tu kaanza kulalamika et Mbona simpigii ipoje hii au kaingia mtegoni Tayari?
🤣🤣😂🤣Hata mimi sijaelewa unamaanisha nini
Hahaha sijaelewa mkuu km umeelewa niambie amemaanisha nini🤣🤣😂🤣
Nilijua labda nimewaka ndo mana sielewi 😃Hahaha sijaelewa mkuu km umeelewa niambie amemaanisha nini
Hahaha na mimi nikajua hivyo hivyo ila nimerudia nikarudia tena sijaelewaNilijua labda nimewaka ndo mana sielewi 😃
Kwa hio mlimpa pumbu zingine?Kama vipi durisha pumbu zetu
Mods wapo busy na kombe la duniaHalafu huku Jamii Sport huu uzi umefikaje, Mods pelekeni kule MMU
Naiomba serikali ianze kutoa posho kwa walimu wa shule za MsingiNimemuomba namba yake wiki 3 Zilizopita kilasiku Nilikua simtongozi Tunachati tu ila sasa Nimpotezee cku 2 tu kaanza kulalamika et Mbona simpigii ipoje hii au kaingia mtegoni Tayari?
Apewe CHIKU KETOUliomba namba uwe unafanya nae biashara
Kama vipi durisha pumbu zetu
Wewe ndio unaingizwa mtegoni. Kuwa makini. Kaa kiaskariNimemuomba namba yake wiki 3 Zilizopita kilasiku Nilikua simtongozi Tunachati tu ila sasa Nimpotezee cku 2 tu kaanza kulalamika et Mbona simpigii ipoje hii au kaingia mtegoni Tayari?