Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,708
- 19,587
Mimi nipo kahama mjini,nimeajiliwa katika duka la hardware, kuna mtoto wa boss wangu amemaliza kidato cha nne lastyear, amekuwa akinitaka kimapenzi,mfano tukibaki sisi tu nyumbani anakuwa ananionyesha tite yake,anavua ananionesha maziwa nk mitego mingi ila mimi huwa najitahidi kuikwepa,sasa naelekea kuchoka,je nimsemee kwa baba yake,au niichape tu? Ila nikiichapa siku nimegundulika nitaharibu kibarua changu.