Unga: Utajiri wa Haraka, Kifo cha Hakika

Unga: Utajiri wa Haraka, Kifo cha Hakika

siku zote huwa nasema ili kuwa tajiri na kuishi
ni kufanya legal works with illegal ways
.....ila sio kufanya harumu kama haramu ambayo ina matokeo ya 90/10
asilimia 90 dawa za kulevya ni jela/kifo/uteja/ very high risk kwa familia pia cc shamim na mumewe
 
Hivyo, bosi mwenyewe anavujisha taarifa za siri kwa polisi wa uwanja wa ndege ili punda mmoja (mwenye mzigo mdogo au asiye na uzoefu) akamatwe makusudi kama chambo (diversion). Polisi na vyombo vya habari wanapokimbilia kumkamata na kumshughulikia huyo chambo mmoja, wale punda wengine watatu wenye mizigo mikubwa wanapita upande wa pili kiulaini bila kukaguliwa.
Ninaungana na wajumbe waliosema unatazama sana movie. Kwa akili za kawaida tu ni kuwa anapopatikana mtu mwenye unga ndo ukaguzi unakuwa mkali zaidi kwenye hiyo foleni. Huo ''Upande wa pili'' ni upi kwenye airport yoyote?

Cha muhimu umekumbusha ubaya wa kujihusisha na madawa ya kulevya. Huwa ninachoshangaa ni kuwa mapapa wa hii biashara ni wafanyabiashara wakubwa, viongozi wakubwa wa dini, wanasiasa wakubwa hadi wasanii wakubwa. Yaani mtu ni milionea lakini utashangaa naye anatajwa kujihusisha.
 
yaani anasema airport maaskari wanamkimbilia mtuhumiwa mmoja wanaachia wazi lango hao wengine wanapita
na anadai huyo anaekimbiliwa anakua na mzigo mdogo

🤣🤣🤣🤣 too many movies asiangalie tena movie
Hichi kipande ndo kimeharibu mtori wooote daaaah mambo ya form one haya 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom