Recent content by semako

  1. S

    JamiiForums Tanzania Waalimu wa Tanzania mbona mna roho mbaya sana?

    Ukitaka kujua haya jiulize swali hili.Kwanini waalimu wengi mara wapandapo vyeo na kua maafisa ndio huwa mstari wa mbele kunyanyasa wenzao?baada ya muda mfupi tu anasahau kuwa anapaswa kuwahudumia wengine;Hebu acheni tabia mbaya ndio maana hata hamnenepi kwa sababu ya roho ya korosh.
  2. S

    JamiiForums Tanzania CCM Dar yamtaka Dr. Magufuli aombe radhi

    Magufuli ni CCM na CCM imezoea kutenda hayo.Sasa amuombe radhi nani?Hiyo ni dalili za chama kufilisika kisiasa,sasa sakata la kuuza nyumba za serikali ndio linaibuka;Kama CCM ni wapenda haki kwanini waseme haya baada ya hili kutokea?Hili linaonesha kwamba kuna mengi mabaya yamejificha ila kila...
  3. S

    JamiiForums Tanzania UDOM:mgomo wanukia

    acha uongooooooooooooooooooooo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi coed-udom waingia barabarani kudai pesa zao!

    usiseme wameingia sema tumeingia mbona na wewe upo?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu Jairo, Mbona kimya?

    Bunge si mahakama aisee
  6. S

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Hii nchi ni tanganyika na sio Tanzania bara,pia muungano uvunjwe hata leo hiiiiii sioni faida ila hasara tupu.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu inaitwa Tanganyika

    Tanganyika ipo na kamwe hatuko tayari kuipoteza,Tanganyika bila zanziba inawezekana
  8. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msijipe moyo, Chama chenu kitasambaratika kabla ya 2015

    wewe una undugu na yule shehe mtabiri?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Bange yawatokea puani wasomi UDOM

    mbona bangi na gongo je vip?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu kwa mwaka 2012

    Aaaaaaaaaaah,ZAMALEK?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nani atalikomboa taifa la Tanzania?

    Ni yesu kristo
  12. S

    JamiiForums Tanzania CWT,walimu ndani ya mgomo wa kudumu,hakuna wa kuzuia

    Mimi nilianza mgomo toka zamaaani,mtanikuta mimi naendelea na mgomo wangu.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Urais wa Muungano 2015 ni zamu ya Zanzibar - Maalim Seif

    Zamu yenu kwa katiba ipi?safari hii tunachagua rais wa nchi yetu nzuri Tanganyika.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye wazee wadai Mustapha Mkullo si mtanzania

    Nikweli jina lake la utotoni ni Sengiyumba;
Back
Top Bottom