Recent content by SELEWISE

  1. S

    Wasiwasi Mwabulambo toa ukatuni wako PB

    oooh! poor PB hakina mvuto tena, kimepoteza mashiko wanaokiendesha wote wamefail, masikini kipindi changu kilichobaki Clouds ni Sport extra...
  2. S

    New York Times wamsifu Babu wa Loliondo

    Pumba, hivi umesoma hiyo artcle na kuilewa? nadhan ungejisikia vibaya kama mtanzania
  3. S

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Safi sana kaka huo ndo moyo wa ubinadamu, na huyo dereva wa gari ya serikali mngemshushia na kichapo juu...
  4. S

    Hivi Tigo modem ni ya utapeli?

    ndio nimenunua na mie ntakujibu kesho
  5. S

    20% na Kili Awards

    tikt tiki kwa alwtan 20%
  6. S

    Tuzo ya Mpoki

    Hakustahili kuwa hata nominated kwenye category hii
  7. S

    Na hichi kipaji tutakiachia kweli kichezee Uingereza kama baba yake anavyosema??

    I s better akachezea timu ya vijana uingereza then baadae aamue mwenyewe, akija bongo ni majungu tu ukizingatia hata African cup of nation hatuchezi sasa atatusaidia vipi mwache dogo wa watu ashine huko duniani
  8. S

    Kongamano la kisiasa la waislamu tanga tarehe 4/3/2011 na umbumbu wa wengi wao

    Haya yote yanatokea wapi na chanzo ni nn? nadhan kila mtu anjaribu kuvutia upande wake,fikiri chukua hatua na heshimu mawazo ya wengine
  9. S

    Nimeoteshwa

    Mi naomba usaidizi mkuu km wale wasaidizi wa babu...utanipa 20% ya kila kikombe mkuu
  10. S

    Watu 200 waliojitolea kupimwa -- jee, walipimwa awali kwamba walikuwa wanaugua maradhi hayo?

    nadhani hiyo nsample ya watu 200 itakua ni walke wenye vyeti vinavyothibitisha maginjwa yao ni vzr ili kuondoa utata, tusubiri tuone jamani ili wengine tuklie hii doubt...
  11. S

    babu loliondo yupo facebook

    ha ha ha ha babuuu!!
  12. S

    Alwatan 20%

    20% he is managed to be awarded five kili music awards, he is a real natural talented musician with natural voice, sio kubana pua, mostly his songs real touch society..big up 20%,wewe chunga tamaa mbaya...
Back
Top Bottom