WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 970
Wasikilizie 2015 watasema sera nzuri za afya ambazo zipo katika llani ya uchaguzi zimewezesha manabii mbali mbali kuwezeshwa na kutibu wagonjwa kwa gharama nafuu ya jelo bila kutozwa kodi.
Fidel
Hujaacha utundu tu maana 2012 ni kesho kutwa tu au mipango imebadilika?
Anyway..asante kunichekesha!