kikaragosi
Senior Member
- Nov 14, 2010
- 112
- 10
Mimi nlitokea Dar 2lipofika mbele ya mto Ruvu nilikuta foleni ndefu sanaa magari 4 yamepata Ajali gari dogo crester limearibka vbya na fusso,scania la mizio na gari la meridian.katka ajali hyo akuna kifo ila dereva wa gari dogo aliumia vibya sana sabbu ya ajali hazikufamika mapema