Hivi Tigo modem ni ya utapeli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Tigo modem ni ya utapeli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malaria Sugu, Mar 31, 2011.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi Tigo modernmni ya utapeli?Nimejaribu kushawishika kunua moderm ya Tigo kwa ajili ya NET. Lakn imekuwa very slow ukitaka kufungua net hata ukifungua google, yahoo na zile simple website.Kabla ya kununua walinishwishi vya kutosha. Nilipanga kwenda Voda, zain na ZantelLkn nilipigwa siasa kunua Tigo na wahudumu wake.Jee huu si utapeli kutuuzia bad poor performance service
   
 2. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Kwanza, jaribu kubadilisha kichwa cha habari cha Uzi wako. Sio watu wengi wako interested kusoma habari za 'Nchi ya Togo'....!! :smile-big:
   
 3. S

  SELEWISE Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio nimenunua na mie ntakujibu kesho
   
 4. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Hata hizo nyingine si efficient kama unavyofikiri. Makampuni TZ customer service kwao ni kama privildge si haki ya mteja.
   
Loading...