Na hichi kipaji tutakiachia kweli kichezee Uingereza kama baba yake anavyosema?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na hichi kipaji tutakiachia kweli kichezee Uingereza kama baba yake anavyosema??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rural Swagga, Mar 30, 2011.

 1. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Adam Nditi dogo wa kibongo anayekipiga Chelsea Youth team.

  Safi sana dogo.
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. S

  SELEWISE Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I s better akachezea timu ya vijana uingereza then baadae aamue mwenyewe, akija bongo ni majungu tu ukizingatia hata African cup of nation hatuchezi sasa atatusaidia vipi mwache dogo wa watu ashine huko duniani
   
Loading...