<br />
<br />
na kweli maana wengi wanazan matatizo ni lazima yawe kwa wanawake tu na wao wanakua wagumu kweli na kujisahaulisha kuwa hata wao wanaweza kuwa na matatizo,kila siku mwanamke ndo amekua kiumbe wa kukandamizwa,wabadilike hao vidume,tumechoshwa na tabia zao!!ni vema wote kupima...
jaman comment zingine tuwe tunaangalia,unaweza kuta unabomoa badala ya kujenga,hawa watu ni ndugu na ameshakwambia dada yake hana matatizo ila yeye ndie mwenye tatizo nae.mimi nazan ni vizur ukaonana na washaur maana inaweza kuwa ni phychological problem na ishajengeka ndan yako...muombe sana...
hata mimi nilishuhudia hicho kizaazaa ila mwisho wa siku wakanikatia umeme kama nyie,nikajaribu kuwasha redio nako mambo yakawa yale yale hakuna kilichokua kinasikika...!labda tuchek baadae kwenye habari,mimi nahisi kama tanesco walifanya makusudi kutokana na iyo ishu!!
pole sn first born..,ila hongera sn maan umeonyesh kwel unamapenz ya dhat kwe mwenzio,msamehe tu mkweo maana huna jinsi ndo mama mzaa chema ipo siku atakuja elewa vzr kilichokua kimetokea huko nyuma!japo alikosa utu na kujisahau kuwa pamoja na yote bado yy ni mama tu!
jaman mm nashindwa kuelewa,...uko humu ndan kwa ajil ya kucoment lugha za watu or kuchangia mada.??km unakua hujisikii ni bora ukaacha bt sio kujiona uko much perfect than others!!mbona wenzako wanachangia vzr tu...?iweje hayo uyaone ww tu!!
ni kwel bro...coz hakuna k2 kibaya km kuforce luv....and then usipende kumfanyia m2 kitu ambacho hutopenda kuja fanyiwa na ww baadae,i mean kuuvunja uhusiano wa2
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.