Nina mapenzi ya dhati nae,mapenziii %%%% | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina mapenzi ya dhati nae,mapenziii %%%%

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ezekielboaz, Jul 15, 2011.

 1. e

  ezekielboaz Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Jan 16, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapendwa wote, hi. Naomba ushauri.kuna dada nampenda sana kila ninapomuona najiona mdogo na hofu ya ajabu.nataman sana niishi nae, lakini baada ya kumtangazia nia yangu kadai anamtu wake. Wadau nimepeni njia ambazo naweza kuzitumia ili akubaliane na ombi langu. Nipo seriously.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hizo njia utakazo uwe tayari zitumiwe na mtu mwingine kukupokonya na wewe.
   
 3. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Njia yenyewe ndio hiyo tayari umeshatumia sasa kama amekataa huna jinsi zaidi ya kuendelea kutafuta mwingine............
   
 4. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,313
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mara ukijiangalia unajiona mdogo, so kwa namna moja au nyingine ni mkubwa kwako, au we mwenyewe unaona huendani nae,

  Amekuambia ana mtu wake, basi hapo inabidi ukubaliane nae, vinginevyo utajitesa sana. Hakuna njia sanasana tukifosi itamlazimu amuache bwanaake aje kwako, kitendo ambacho si cha kistaarabu.
   
 5. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mazawadi mazawadi ya hapa na pale, jaribu kujipinda kwa sana, ila kama kweli anamapenzi ya dhati na huyo mtu wake utaishia kuchunwa.
  ila endelea kumsumbua, maana hiyo ni njia mojawapo ya wakina dada kuitumia kwa ajili ya kumzungusha mwanaume na kuona kama kweli yupo serious
   
 6. s

  sekitova Member

  #6
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kwel bro...coz hakuna k2 kibaya km kuforce luv....and then usipende kumfanyia m2 kitu ambacho hutopenda kuja fanyiwa na ww baadae,i mean kuuvunja uhusiano wa2
   
 7. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  we Ezekiel wewe,yaani kumwona tu unawazia kuishi naye?unajua maana ya kuishi na mwanamke? kwa taarifa yako mambo haya yanataka subira na moyo wa uvumilivu.Usiwe na papara,kama ni wako utampata tu,take your time.Zoeaneni taratibu na jaribu kufanya vitu vidogo vidogo pamoja kama kula pamoja,kutembea ufukweni pamoja ,kwenda sinema pamoja n.k. Na wala msikimbilie kulalana,jengeni ukaribu kwanza, again nasema take your time.Na Mungu akiwasaidia mkaelewana msisahau kwenda Angaza,best wishes.
   
 8. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Lizzy , mwonee huruma mtoto wa mwenzio.......
   
 9. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #9
  Jul 15, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,204
  Likes Received: 3,765
  Trophy Points: 280
  Umemuelewa vema? Yeye kamtangazia ndoa,lakini mrembo anampezi tu! Ushauri wangu: Tuliza kichwa na moyo wako, nenda na dhamira hiyo huku ukiiweka kweli nayo kweli itawaweka huru! NB:Mapenzi ya aina hiyo ni mabaya sana,nasema hivyo kwakuwa mimi ni sehemu ya muhanga wayo!! Mtangulize mungu ktk hilo atakuonyesha mwingine wa kufanana nawe!!
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ukweli ndio huo....ukimchukua mdada au mkaka mikononi mwa mtu wake anaedai anampenda jua kuna nafasi kubwa sana ya wewe pia kunyang‘anywa ikiwa atatokea mnyang‘anyi mwingine.
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwani akiwa mpenzi ndio umeambiwa hawana mipango ya ndoa?!Na hizo ndoa mnazotangaza kabla/bila ya upenzi zina ubora zaidi ama!!?BTW....pole sana MUHANGA!
   
 12. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #12
  Jul 15, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,204
  Likes Received: 3,765
  Trophy Points: 280
  Nashukuru kwa pole yako yenye kugusa kidonda!Juu ya ubora wa ndoa kwakuwa hatampenzi bado sijampata, mimi naamini nikimpenda mtu na kumkabidhi moyo wangu basi penzi hilo litakuwa imara kama mlima sayuni,huku tukisimamia maagano/ahadi zetu.
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Dah...pole na hongera sana.Ni wachache wa aina yako.
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Mabint hawamaanishi wanachoongea!
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We nawe kwasababu tu ulitendwa basi kila mnyama mwenye mkia kageuka mbwa!
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  tha action has nothing to do with this!What i said come from reality,dont knw that?Mabint ndivyo walivyo!
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Well your reality is not MY/EVERYONE‘S REALITY.
   
 18. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Lizzy there is no such a thing different reality,reality is reality,if u go againts it people see u as insane!Belive it or not!
   
Loading...