Am so frustrated and in the big dilemma! I need ur help plzz!

na huko tz kuna mambo ? la kwanza acha showing off kwa mademu , la pili hayo ni maisha yako , then kuna maradhi, na hao wanakutamani ,, tu nahisi kua muazi wewe n man unatka kuja kua na majukumu ya future yako ,usiwa pe nafasi kufuja maisha yako ,waepuke wanawake kama hao ,kama watakufata usiwe rud ,just wambie ukweli tu , kama huko tayari ,epukana na watu kama hao . watu wasio kua na kimeme, jina lako SABRI kama sikosei sasa kua na subraaa kama jina lako,,
 
Waambie wasubiri majibu yao mpaka umalize hiyo field kama kuna atakayeharibu kwenye riport,then unasepa kiulainiii!
 
nisaidieni jamani kwani naweza kuwehuka. Ni wiki ya pili sasa tangu nianze field ktk shule moja huku kilimanjaro. Cku 3 za mwanzo ckuona shida kwani ckupata usumbufu ila kuanzia jtatu nimeanza kusumbuliwa kwani vijana 3 ktk hyo ofc kila mmoja ananitaka. Mmoja ni bursar na mtoto wa owner wa shule, wa pili ni academic na mwingine mwalimu mkuu msaidizi. Kwa kweli nimeshachanganyikiwa kwani kwa ukweli simtaki yeyote hapo cuz still nauguza majeraha ya moyo. Nifanyeje manake field ni mpaka september na wote kwa kiasi wana influence ktk ripoti yangu ya kurudi chuo? Nipeni mawazo jamani manake maisha na elimu yangu iko matatani!!

wewe ilo nalo la kutuletea humu?tunamambo kibao ya kujenga nchi usituletee habari za kishimundu huko..fanya kazi kutakwa si ni kawaida au unawapenda?au unataka ukawasemelee?
 
hao simple kuwapiga chini!waambie umeathirika afu uone kama kuna atakayerudi!lazima wote watoke mbio,unakua umesalimika!
 
Nisaidieni jamani kwani naweza kuwehuka. Ni wiki ya pili sasa tangu nianze field ktk shule moja huku Kilimanjaro. Cku 3 za mwanzo ckuona shida kwani ckupata usumbufu ila kuanzia jtatu nimeanza kusumbuliwa kwani vijana 3 ktk hyo ofc kila mmoja ananitaka. Mmoja ni bursar na mtoto wa owner wa shule, wa pili ni academic na mwingine mwalimu mkuu msaidizi. Kwa kweli nimeshachanganyikiwa kwani kwa ukweli simtaki yeyote hapo cuz still nauguza majeraha ya moyo. Nifanyeje manake field ni mpaka september na wote kwa kiasi wana influence ktk ripoti yangu ya kurudi chuo? Nipeni mawazo jamani manake maisha na elimu yangu iko matatani!!
<br />
<br />
dah we mzuri ee?
 
kila mmoja mjibo kwa wakat wake
majibu ya kidiplomasia...ambayo ataondoka uku anacheka..usiwehuke mbona vtu vdogo saaaana ivo?

kila mmoja mpange kwa wakat wake mjaze maneno yake..kuna ofc nyngne wanafanyaga mashndano ya kumpata kila bnt mpya anayeripot ofcn ..tena wakikaa wanasema kabsa ahh nan atampata yule..ahh tutaona wewe awez kuchomoa kwangu mim nina title apa..

sema ukiweza kuwapangua wote na mwshowe kila mtu atasema ahh yule bnt kiboko..APO NDO UTAHESHIMIKA ATA RIPOT YAKO ITAANDIKWA FRESH..NA UTAKUWA RAFIKI WA WOTE..LAKIN UKIJIFANYA KUMPA MMOJA AFU WENGNE WAJUE AHH TEGEMEA UMEUMIA KWENYE RPOT YAKO CZ KILA MTU ANA MKONO WAKE APO ACORDNGLY..

kataa wote.linda heshima yako.wakijua msimamo wako watakueshimu na ripot itakuwa fresh tu...pole

NEVER ON EARTH ...USIJARIBU KAMWE KUMPA MWANAUME MWILI WAKO FOR EXCHANGE OF PESA,KAZI,MALI AU ANY PRIVELEGE..ni laana tena laana bnafsi cz maisha yako yote shetan atakuandamana na atakujaza ujinga like apa uwez kufaniukiwa bila kugawa mwili...ukipandacho...MUNGU YUPO ATAKUSAIDIA..AYO MAJARIBU TU YATAKWISHA..USITETEREKA UKAINGIA DHAMBINI BSHOST...tunza mwili wako cz ni hekalu ilo...fanya yote bt kuhusu kuguswa guswa apana..kuwa mkali kuwa makini..

wsh u gud sweetie

Huu ndio ukweli unapaswa kufanyiwa kazi....chukua ushauri huu....kwisha habari yao
 
Mie boss au mwalimu akinitaka huwa namfanya rafiki coz hawa watu wanajkuwa wanajua kabisa kama umeolewa still wanakutaka, sasa kama ukimwambia una mtu anakwambia anajua na yeye anaye wake,mtu kama huyu anakuwa rafiki tena husubiri akuite,unaweza kuw sehemu kama new afrika au bar yeyote uko na rafiki wengine unamvutia uzi uko wapi mashikaji, sijui nini,akifika pale unakuwa unaongea story kibao unamchekesha then mnaondoka,mara ya kwanza ya pili ya tatu anaanza kukuona rafiki.
 
me con ugumu dada, labda kama hujui umchague nani.
Hiyo ipo wazi jibu sitaki basi kwani watakubaka au watakufukuza?
Na haina haja yakuwa na wasiwasi kwani ushandaa report? we andaa then ukiziona comment zao njoo tena humu am sure utaambiwa wht to do.
utajistress na field yenyewe itakua fieeeeeeeeeeeld
 
Simama imara kijana,ukicheza itakula kwako,usimpe Ibilisi nafasi...Jiamini,ur unique,unaweza bila wao,so it choice kujua kuwa maisha yako hayapo mikononi mwa hao wazee wa kutamani bali maisha yako yapo Mikononi mwa Mungu..!
 
na huko tz kuna mambo ? la kwanza acha showing off kwa mademu , la pili hayo ni maisha yako , then kuna maradhi, na hao wanakutamani ,, tu nahisi kua muazi wewe n man unatka kuja kua na majukumu ya future yako ,usiwa pe nafasi kufuja maisha yako ,waepuke wanawake kama hao ,kama watakufata usiwe rud ,just wambie ukweli tu , kama huko tayari ,epukana na watu kama hao . watu wasio kua na kimeme, jina lako SABRI kama sikosei sasa kua na subraaa kama jina lako,,

ndugu umemuelewa mtoa mada?

yaan upo nje ya mada ndgu

mtoa mada ni dada na si kaka...na mawaidha ulompa wala ayaendani na tatizo lake...RUDIA TENA KUISOMA POST
 
kumbe mwanamke? nilipo ona sabry nilizani boy? pole jitahidi usiwakubali hata mmoja,,
 
Imani yangu:

Mpaka mtu afikie kukutongoza lazima umempa nafasi!!

Yaani Jiepushe na zile Chit Chat za ofisini, na hao watu.

Yalinikuta nilipokua Field pia, I tried to sho lively I had a boyfriend who I loved so Much. Na hata sometimes nilimualika ofisini kuja kunitembelea. Hii ilikua nyundo ya mwisho.

Take care my Dear, Most men have got a lusting hurt to women. Nikiangalia rate yangu ya Kutongozwa, Then napiga Picha kama ningewakubalia wote hao. I could be dead by now!!!!
 
kila mmoja mjibo kwa wakat wake
majibu ya kidiplomasia...ambayo ataondoka uku anacheka..usiwehuke mbona vtu vdogo saaaana ivo?

kila mmoja mpange kwa wakat wake mjaze maneno yake..kuna ofc nyngne wanafanyaga mashndano ya kumpata kila bnt mpya anayeripot ofcn ..tena wakikaa wanasema kabsa ahh nan atampata yule..ahh tutaona wewe awez kuchomoa kwangu mim nina title apa..

sema ukiweza kuwapangua wote na mwshowe kila mtu atasema ahh yule bnt kiboko..APO NDO UTAHESHIMIKA ATA RIPOT YAKO ITAANDIKWA FRESH..NA UTAKUWA RAFIKI WA WOTE..LAKIN UKIJIFANYA KUMPA MMOJA AFU WENGNE WAJUE AHH TEGEMEA UMEUMIA KWENYE RPOT YAKO CZ KILA MTU ANA MKONO WAKE APO ACORDNGLY..

kataa wote.linda heshima yako.wakijua msimamo wako watakueshimu na ripot itakuwa fresh tu...pole

NEVER ON EARTH ...USIJARIBU KAMWE KUMPA MWANAUME MWILI WAKO FOR EXCHANGE OF PESA,KAZI,MALI AU ANY PRIVELEGE..ni laana tena laana bnafsi cz maisha yako yote shetan atakuandamana na atakujaza ujinga like apa uwez kufaniukiwa bila kugawa mwili...ukipandacho...MUNGU YUPO ATAKUSAIDIA..AYO MAJARIBU TU YATAKWISHA..USITETEREKA UKAINGIA DHAMBINI BSHOST...tunza mwili wako cz ni hekalu ilo...fanya yote bt kuhusu kuguswa guswa apana..kuwa mkali kuwa makini..

wsh u gud sweetie

Hayo maneno hapo juu mdogo wangu yametosha kabisa kukupa msimamo wengine tunaongezea tu, mtaalam mmoja anaitwa Erich Fromm ali comment: " Immature love says, I love you because I need you. Mature love says: I need you because I love you.."
Pole sana, wewe sio wa kwanza waliofanya field kama wewe wamepita wengi na wakamaliza,only that usije ukawa kama watu fulani wanahubiri maji wakati wao wanakunywa maziwa.." nadhani umenielewa!
 
Shostito....................haijaanza hivi hivi tu kuna ka body language flani unakatoa kuelekea usawa wao! halafu unaposema uko ktk dilemma unamaana unataka tukusaidie kuchagua kati yao nani anakufaa kujirusha naye kwenye anga la malavidavi? ...........................ah we jiachie tu kula ile kitu roho yako inapenda!
 
...kuna haja ya kuchongesha 'cheti feki' nawe ni muathirika (HIV +VE) kisha unajifanya umekisahau mezani...
 
  • Thanks
Reactions: RR
Wewe sema hapana na watakuelewa na kukuheshimu.Huwezi kumkubali kila mtu anayekutongoza!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom