Komba Bungeni

Mufilisi wa akili, sioni cha kulinganisha hapo. Kwa hiyo ndo anataka kutuambia maendeleo yapo ila hayaonekana tu kwa vile TZ ni kubwa? Hayo wanatakiwa waambiane kwenye vikao vtyao vya ndani ya CCM sio kwetu great thinker

Ni lidude gani tena hili?mmelitoa msitu gani tena jamani?aaah linatisha kweli.

Kwani keshaamka?

komba1.jpg

huyu hapa kaamka

bushbaby.jpeg

huyu hapa kaamka

Tehe tehe tehe anafanana na Handsome Boy wa Kawe.

huyu mwanamke upstair hakujatulia.. anataka kuifananisha Tanzania na Kenya...hivi huyu ashawahi kufika Kenya kweli?

huyu hapa kaamka

<br / hahahahaaaaaaaaaa akiwa kaamka ndo mrembo zaidi

uyo kazoeaaaaaaaaaaaaaaaa awamu ya kwanza akaimbe kwaooooooooooooooooo msibani mana now hana dili za kampeni may be igungaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ndo mana analala.nyieeeee watu eti komba mbunge ngoja nami nifanyeeeeee mchakato lazima

uyo kazoeaaaaaaaaaaaaaaaa awamu ya kwanza akaimbe kwaooooooooooooooooo msibani mana now hana dili za kampeni may be igungaaaaaaaaaaaaaaaaaaa  ndo mana analala.nyieeeee watu eti  komba mbunge ngoja nami nifanyeeeeee mchakato lazima

Hahhahahah alisema bungeni hawaendi kubeba zege kumbe kazi ndio hiii? Hapo akiamka tu anakumbushia kiinua mgongo chake cha unaibu waziri mkuu.
nahisi alikuwa anajikuna sikio lake la kushoto kwa pamba/kidole.matokeo yake ile raha ya kujikuna ikamlegeza-akalegea mpaka mdomo.naona viudenda vya mate kwa mbaaaaaali.
icon10.png
icon10.png
icon10.png
icon10.png
icon10.png

Ina maana tuna barabara nyingi sana zenye lami (kmwise) ukilinganisha na nchi hizo?nyoosha sentenso.

Kiswahili hiki ni balaa.

Nadhani komba amemnukuu Rais wake wa Tz aliyewahi kusema kwa jinsi Tz ilivyo na barabara nyingi za lami ukizihamishia Malawi basi lami ina_cover mpaka vyooni.

Sioni cha kushangaza alichosema Komba, kwani hiyo ndo kazi yake ya kuimba na kusifia ujinga siku zote maana ugali wake anaupata kwa kazi hiyo ya kusema mistari!

Kuna statement zingine hata kuzitolea comment ni kama nazipa value. Sasa how is that statement relevant? Tuhamie huko malawi sasa.

Similar Discussions

Back
Top Bottom