Hemed amponda jaji Ian Tusker Project Fame

tatizo ni tz media....

mtu hana genuine talent but anakuzwaa mno.....

sawasawa mkuu,media zetu zina michezo michafu,si unaona kama wanavyo m-promote Chid Benz,hasa Eatv,wanatujengea picha kwamba jamaa ana kipaji saaaaana wakati mm naona kawaida tu!!
Sasa hata huyo Hemed atakuwa ametunishwa kichwa sana na Misifa hewa aliyopewa to the extent hataki kukubaliana na hali halisi!!!

Aliniboa sana mwanaume kujipamba pamba kama shoga vile na mitusi kibao, tena kaidhalilisha bongo ile mbaya.

Anajisifu kuwa alishatoa single, na ametoa movies nyingi!
Movies zenyewe part 1 na 2 (hata huwezi kuona mantiki ya kuzi-split into 1 & 2).

Wasanii wetu jamani! Hakuna cha Tusker Project wala BBA na BBA nd'o hata haina kibali cha nchi kabisa!

Miaka kama 2, 3 iliyopita nilimsikia P-Funk ktk BSS akimsifu mtu fulani akasema umefanya vizuri, Hemed hawezi kujilinganisha na wewe (Hemed hakuna kitu) nilidhani anamwonea wivu tu Hemed labda kwa sababu hampatii deal ya ku-produce single zake kumbe inaonekana Hemed ni "much know", mbumbumbu, mbishi, zezeta!

Kwa mtindo huo akifikisha miaka 45 kama hajaweka sustainable investment atakuja kupata frustration; kama anategemea hayo mamiziki na ma-movies yasiyo na kichwa na miguu na anavyoonekana sharobaro - atakuwa anaponda sana pesa!

Hata alikuwa hashirikiani na wenzake wanapokuwa wanaimba, alikuwa tofauti sana na wenzake!

He was a SQUARE PEG IN A ROUND HOLE!!!!!!!

sawasawa mkuu,media zetu zina michezo michafu,si unaona kama wanavyo m-promote Chid Benz,hasa Eatv,wanatujengea picha kwamba jamaa ana kipaji saaaaana wakati mm naona kawaida tu!!

Sasa hata huyo Hemed atakuwa ametunishwa kichwa sana na Misifa hewa aliyopewa to the extent hataki kukubaliana na hali halisi!!!

Chid benz ni mvutabange tena mkorofi ile kinoma.
Dawa ya watu ambao hawajiheshimu kama hawa ni kutoripoti kabisa habari zao

Chid benz ni mvutabange tena mkorofi ile kinoma.
Dawa ya watu ambao hawajiheshimu kama hawa ni kutoripoti kabisa habari zao

Kuna wimbo wake mmoja wa matusi (kama haujawahi kuusikia waulize vijana ambao unaamini watakuwa nao - unaweza ukalia!)

Nadhani sasa watu waone umuhimu wa kusoma shuile...si kwa ajili ya vyetu tu bali kwa maandalizi ya kupambana na maisha.

Huyu jamaa nasikia alisoma Coast SS pale Tanga. Pale ni kijiwa cha kumalizia vidato.....

Mimi yangu macho...hata hivyo tuwapeleke watoto shule na tuhakikishe wanapata elimu, itawasaidia na especially kudeal na chamgamoto mbali mbali za maisha!!

Aibu jamani,katutia aibu sie watanzania.jana nilifuatilia mpaka mwisho,kachemka kinoma.

duh....kwa ujumla vijana wa kitanzania wengi wanaonekana
hawako na adabu na ustaarabu wa ku behave vipi mbele watu
wazima tena nje ya nchi....
tunafikiri umarekani ndo fashen....ki gangster gangster rap hivi.....
sishangai...

mwenzake Msechu anajitahidi kweli kweli....Hemedy alikuwa anaulazimisha u Michael Jackson...hahaha kijana ana sifa za kijinga sana sana.

hata mimi kiukweli sikumfurahia hata kidogo,unajua yule kijana amezidisha maringo na dharau....sijui angekua mwanamke angekuaje?kwel anatakiwa abadilike maana naona umaarufu unampeleka pabaya!!

Nadhani sasa watu waone umuhimu wa kusoma shuile...si kwa ajili ya vyetu tu bali kwa maandalizi ya kupambana na maisha.

Huyu jamaa nasikia alisoma Coast SS pale Tanga. Pale ni kijiwa cha kumalizia vidato.....

Mimi yangu macho...hata hivyo tuwapeleke watoto shule na tuhakikishe wanapata elimu, itawasaidia na especially kudeal na chamgamoto mbali mbali za maisha!!

huyu kijana kuachia mbali shule pia ana ulimbukeni wa kuzaliwa....yaani kijana limbukeni cjapata kuona.

hata mimi kiukweli sikumfurahia hata kidogo,unajua yule kijana amezidisha maringo na dharau....sijui angekua mwanamke angekuaje?kwel anatakiwa abadilike maana naona umaarufu unampeleka pabaya!!

maarufu? hivi yupo kwenye movie gani huyu ambazo jana alikuwa anamtambia nazo Ian....Ian ana kasoro zake lakini ni judge mzuri hakurembi bali anakwambia ukweli na binadamu ndio hatutaki kuambiwa ukweli....huyu Hemedy hamfikii Msechu hata kwa mbali.

huyu kijana kuachia mbali shule pia ana ulimbukeni wa kuzaliwa....yaani kijana limbukeni cjapata kuona.

I concur! Majivuno yasiyokuwa na msingi, kujiona mjuaji ndiko kumemuangusha Hemedi. Maana sasa kama yeye ni mjuaji kuliko hao wanaomuhukumu, atasikiliza hata maoni na ushauri wao?

hemed,
kamuita jaji kuwa ni mbeya tena mshamba, teana akaajiriwe mashambani na kuwa mkulima.
Akaendelea kuponda kuwa ian hana single wala movie.
Huyu dogo must be mad.
hilo ndo swaga la hemedi bana.

Anamponda yule jaji,aibu,anasema ana singo na muvi,muvi yenyewe ya kibongo haina be wala che.....uozo tu.ametuaibisha sana najuta hata kupoteza kura yangu.

Back
Top Bottom