Recent content by sean kingkong

  1. S

    zoezi la uandikishaji wapiga kura DAR kwa kutumia BVR lasogezwa hadi tarehe 22/07/2015

    Zoezi la uandikisha wa wapiga kura katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mfumo wa Biometric Voters Registration mkoani Dar es salaam lililopangwa kuanza tarehe 16 mwezi huu limesogezwa mbele hadi tarehe 22 mwezi huu. SOURCE: radioOne facebook page
  2. S

    BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

    poa ukiyaona yapige picha uweke humu wengine nao wafaidi
  3. S

    BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

    shuka studio ulizia kanisa la pinda ama baa ya stereo
  4. S

    BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

    yamebandikwa kwenye offis za kata.. ipo barababara ya kanisani wanasema kwa pinda. ipo karibu na show room ya magari. NOTE: zipo ofisi mbili ya hapo mwanzoni na ambayo ipo kwa nyuma yenye majina
  5. S

    BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

    hananasifu yapo tokea juzi.. na mwisho ni kesho tarehe 10
  6. S

    BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

    wamefanya uhuni gani mkuu
  7. S

    Uandikishaji wa BVR kwa mkoa wa Dar es Salaam

    kwa Temeke usaili unafanyika lini?
  8. S

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Inatumia siku ngapi kutotoa vifaranga? Ya mayai 60 shilling ngapi? Vipi kwa msimu huu wa baridi unaoanza, inaweza kutotolesha na vifaranga vikasavaivu!?
  9. S

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    meridian huwa inastack sana hasa siku za weekend .. inakua shida kuweka mkeka.. nipeni altenative yake ambayo nitafanya mambo online
  10. S

    Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

    Wataalamu hivi kuna application ya FM radio kwa android naeza download?
  11. S

    Kingamuzi cha continental

    digitek zipo hizi itv, eatv, capital, startv, tbc, clouds tv, citizen tv, emmanuel tv, africa tv swahili, cctv 9, arrirang, aljezeera, nhk, loveworld, mlimani tv, chanel 10 pamoja na hizi sema naskia sio zao any day zinaweza kata Dw, Voa , hope, france 24
  12. S

    Kingamuzi cha continental

    hicho unachozungumzia naona ni TING ,, CONTINENTAL zipo chanel 11 tuu ambazo ni Chanel 10 Tbc, Citizen, hope (ntv), Dw, Voa, Star tv, Eatv, na Capital tv
  13. S

    Naweza, najua lakini sijiami.

    inaonekana ukiwa mdogo hukupewa muda wa kutosha kucheza na wenzako hivyo ulijijengea tabia ya kuwa mwenyewe hii ilikupunguzia uwezo wa kujiamini mbele ya wenzako.. pia ulifanya mambo yako kwa hofu ya mtu fulani (mfano: mzazi) zaidi ulifanya mambo yako kwa hofu pia ya kushindwa.. with all this...
Back
Top Bottom