BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

Majina ya Ilala haya hapa:
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    43.6 KB · Views: 178
  • image.jpg
    image.jpg
    43.3 KB · Views: 150
  • image.jpg
    image.jpg
    43.2 KB · Views: 150
  • image.jpg
    image.jpg
    43.4 KB · Views: 145
  • image.jpg
    image.jpg
    41.8 KB · Views: 134
  • image.jpg
    image.jpg
    44.9 KB · Views: 124
  • image.jpg
    image.jpg
    42.5 KB · Views: 130
  • image.jpg
    image.jpg
    44.6 KB · Views: 133
  • image.jpg
    image.jpg
    45.5 KB · Views: 124
  • image.jpg
    image.jpg
    44.9 KB · Views: 124
  • image.jpg
    image.jpg
    45.1 KB · Views: 142
  • image.jpg
    image.jpg
    44.8 KB · Views: 133
  • image.jpg
    image.jpg
    42.5 KB · Views: 145
  • image.jpg
    image.jpg
    43.6 KB · Views: 145
  • image.jpg
    image.jpg
    44.3 KB · Views: 121
  • image.jpg
    image.jpg
    15.3 KB · Views: 123
Majina ya hananasifu yamebandikwa wapi?
Kwa anaejua ofisi ya kata ya hananasifu anielekeze tafadhali
yamebandikwa kwenye offis za kata.. ipo barababara ya kanisani wanasema kwa pinda. ipo karibu na show room ya magari.
NOTE: zipo ofisi mbili ya hapo mwanzoni na ambayo ipo kwa nyuma yenye majina
 
Sijaipata fresh unajua mimi ni wa kata ya makumbusho bt makumbusho wamejaa so wametupunguza hananasifu,hivi nikifika mkwajuni si inabidi nifuate ile barabara inayoelekea shule ya hananasifu.Then nikifika hapo nielekee wapi?
 
shuka studio ulizia kanisa la pinda ama baa ya stereo
 
Wakuu nasikia zoezi la uandikishaji limesogezwa mbele Hadi tarehe 22-7-2015, kwahiyo na semina itakua imesogezwa mbele
 
Wakuu nasikia zoezi la uandikishaji limesogezwa mbele Hadi tarehe 22-7-2015, kwahiyo na semina itakua imesogezwa mbele

Ni kweli zoezi limeghailishwa hadi tarehe 22/7. Na kwa wale wa Kata ya Mabibo usaili ni tarehe 19/7...
 
Back
Top Bottom