weka hizo keys hapa au haujui jf kuna option ya ku attach au kuweka link
Dah mkuu inabidi tu unielewe hivo hivo maana siwezi kuweka link, lakin kuna shida gani we kunipa email yako then nakupa. fastaaaa
weka hizo keys hapa au haujui jf kuna option ya ku attach au kuweka link
Aise Walas mbona hutumi Tena kaka?.g.felex@yahoo. com. sand me pls
Dah mkuu inabidi tu unielewe hivo hivo maana siwezi kuweka link, lakin kuna shida gani we kunipa email yako then nakupa. fastaaaa
kila mtu akianza kuomba email tutafika kweli
uki-attach hapa miaka nenda rudi hata ukiacha kuja JF watu wote watabaki faidi ulicho attach
Mm sina shida na apps hizo ni just na recommend hivo
Wataalamu hivi kuna application ya FM radio kwa android naeza download?
Jamani Wadau Naombeni Msaada. Et Kuna Version Ya 3.5 Android Coz Kuna Device Ya Itel Imeandikwa Hivyo, Ila Kila Ninapojaribu Hata Kui Google Siioni. Msaada Wadau.
Ipo 3.0 honey comb
Sa Hii Iliyoandikwa 3.5 It Means Haitafanya Kazi Za Anroid At All Au Inakuaje Hapo?
Inawezekana ni
CyanogenMod - is an aftermarket firmware for a number of cell phones based on the open-source Android operating system. It offers features not found in the official Android based firmwares of vendors of these cell phones.
Kama ndivyo basi hiyo haina tatizo inafanya kazi vizuri tu.
Aaah So Nitaweza Kupata App Kama Instagram, Viber, Twitter & Facebook Kama Andr Za Kawaida?
Thnx alot guys cmply ---- apps kibao ndo nazickia leo.