BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

Temeke hao
Usaili wafanyiwa watu 180
Majibu kutoka wamechaguliwa watu 90
 

Attachments

  • 1436390260860.jpg
    1436390260860.jpg
    45.1 KB · Views: 209
  • 1436390281656.jpg
    1436390281656.jpg
    56.2 KB · Views: 183
  • 1436390300008.jpg
    1436390300008.jpg
    54.1 KB · Views: 190
Hapana mkuu
Ya ukonga Siko familiar nayo kiukweli
Ila nakushauri nenda kwenye ofisi ya afisa mtendaji Wa Kata yako
Maana hapo ndo yanabandikwa mkuu
Hebu Fanya hivyo tafadhali
 
ilala mbona wako kimya kutoa majina
 
Itakuwa haikuhusu..!

Asalam Alekum wadau humu ndani,


Hivi updates za waliofanya usaili manispaa ya ilala ikoje? maana mpaka jana nimeenda kata huku kwetu segerea mtendaji hana taarifa wala za makisio kuhusu zoez hili! kwa anae jua mwelekeo wake atupe updates please.!!!
 
Habari wana JF.
Kwa yeyote mwenye ushahidi kuhusu kubandikwa majina kata ya makumbusho kwa tuliofanya usaili kinondoni naomba anithibitishie tafadhali mana najaribu kufuatilia kila siku bt sijafanikiwa.

MSAADA WENU TAFADHALI
 
[We unafatilia wapi labda ndugu
Nijibu na mi ndo nikwambie mahala pa Kwenda kuyaangalia
 
Inabidi uende viwanja vya Biafra ukacheck instantly aisee rahma
 
Last edited by a moderator:
Asalam Alekum wadau humu ndani,


Hivi updates za waliofanya usaili manispaa ya ilala ikoje? maana mpaka jana nimeenda kata huku kwetu segerea mtendaji hana taarifa wala za makisio kuhusu zoez hili! kwa anae jua mwelekeo wake atupe updates please.!!!
Nimesikia fununu kwamba watabandika Leo jioni so check vizuri jioni au kesho asubuhi maana hata huku ukonga bado hawajabandika
 
Nenda Biafra mama rahma
 
Last edited by a moderator:
Kwa wilaya ya Temeke majina yamebandikwa wapi? kwenye ofisi za kata hayapo.
 
Majina ya hananasifu yamebandikwa wapi?
Kwa anaejua ofisi ya kata ya hananasifu anielekeze tafadhali
 
Back
Top Bottom