Uandikishaji wa BVR kwa mkoa wa Dar es Salaam

Interview huwa ni issues za Basic Computer Application. Unatakiwa kujua computer ni nini? Parts za computer. Database basics, Spreadsheet appa like Ms. Excell.
 
Suala la malipo ni confidential, kwani wengi wa waliofanya kazi hii walikula kiapo cha kuficha siri. Sidhani kama wanaweza dusclose hizo info.

Na kama una higher expectations on salary, hapa si mahali pake.
 
ipi bora kuomba kati ya hizo nafasi mbili tajwa? na je kuna haja ya kuambatanisha na barua kutoka serikali ya mtaa husika?
 
Jamani mimi nimeshapeleka maombi Ya uandikishaji kinondoni na wamesema usaili utafanyika tarehe 20 mwezi huu sasa wana ndugu naombeni kuuliza kwa wale wamikoani ambao wameshafanya usaili kama huu huwa wana uliza maswali gani?

MSAADA WETU TAFADHALI!!!

Mimi ni mmoja ya watu wanaowafanyia interview na kuwatrein ma BVR KIT operator nakuomba ujiandae ujue computer ni nini,inamatumizi gani ni sehem kuu za computer na.aina zake zoote za komputer na ujue kutumia word na excell kidogo na kucreate folder n.k ni mambo madogo tuu tunauliza na tukikupa computer tunajua how competant you are so jiandaeni vzr tuu wala msiwe na shida kuna nafasi moja inaitwa IT SUPPORTER OFFICER ndio mtakua nao
 
Mwisho @wa RELI, nilifanikiwa kusimamia zoezi hili mkoa fulani. Watu walilipwa flat rate, regardless of your education or the post you are applying for.
 
Last edited by a moderator:
Jamani mimi nimeshapeleka maombi Ya uandikishaji kinondoni na wamesema usaili utafanyika tarehe 20 mwezi huu sasa wana ndugu naombeni kuuliza kwa wale wamikoani ambao wameshafanya usaili kama huu huwa wana uliza maswali gani?

MSAADA WETU TAFADHALI!!!

Mahala pa usaili ni wap?
 
image.jpg image.jpg

Vijana wamejitokeza kwa wingi kwenye usaili wa Manispaa ya Kinondoni...
 
Interviewz nyingi za kibongo ni geresha, na kwa iyo nyomi kama haumjui mtu au huna kitu kidogo cha kuwalambisha hao mabwana mkubwa tusahau tu izo nafasi!!! HII NDIO TANZANIA
 
sasa huyo jamaa n eng alafu n afisa mwandikishaji jamani, mmmmhh haya bhana tutafika tu

ENG. MUSSA NATTY ni mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya kinondoni ndiye mkuu wa idara zote za halmashauri na ndiye afisa mwandikishaji mkuu wa halmashauri yake ya kinondoni kwenye hili zoezi lolote litakalo kwenda tofauti yeye ndo anakuwa responsible kama mkurugenzi na kama afisa mwandikishaji. Kwa hiyo usipagawe na elimu yake ukajua na yeye ndo atakuwa anawaandikisha watu. Hapana yeye ni mkuu wa idara hiyo ya unandikishaji kama mkurugenzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom