Jamani tupeni Idadi ya Channel kwa Visimbusi vya DIGITEK na CONTINENTAL ili tufanye maamuzi sahihi!!
Hawa nao wale wale 2 mm ninacho napata chanel 11
Chanel 10
Tbc
Citizen
Ntv
Dw
Voa
Star tv
Eatv
Capital tv
Bahati mbaya hata no za castomer care hazipatikani
Wajinga 2
Jamani naomba ufafanuzi kidogo
kati ya king'amuz cha zuku na continental na pamoja na dish kipi ni kitu kizur maana huku nilipo hakuna mitambo ya digital hadi ninunue kitu ambacho kina uwezo wa kutumia satelite moja kwa moja.
Naomaba ushaur wenu na naomba kuwasilisha
natgeo gold na dubai sport bado zipo??????Hizi ni chanel zilizopo kwenye king'amuzi cha continental
itv
eatv
capital tv
tbc
star tv
ch 10
clouds tv
mlimani tv
citizen tv
emmanuel tv
africa swahili tv
love world
madani
cnn
setanta action
smile tv
trenet tv
muvi tv africa
mbc2
colors
fashion tv
rkm gold
cinema tv
tim
aikass sport
jeem
aljezeera documentary
baby tv
atn
atn2
setanta africa
aljezeera
ewtn
tbn
smile of child
hope
zee cinema
nat geo gold
jctv
miracle tv
fox
dubai sports
spacetoon
stv guide
hizo ndizo zilizowekwa mpaka sasa natumia antenna ya kawaida tuu