Recent content by screpa

  1. screpa

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni zinazotukopesha simu nyingi siyo nzuri, zina matatizo na hawarudishi hela

    Kwahiyo hii sridi umeiandika kupitia simu ya mkopo?😅😅😅
  2. screpa

    JamiiForums Tanzania Nahitaji simu nzuri ya kurekodia video

    Ulifanikiwa kupata?
  3. screpa

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na kununua hizi simu toka Google Pixel mwaka huu 2026

    Mimi yakwangu '8 Pro' jana imelala nzima naamka nakuta black screen, najaribu kuchaji nasikia inapokea moto ila haiwaki, kuipeleka kwa fundi anasema kioo kimekufa😇🥲
  4. screpa

    JamiiForums Tanzania Simu za Google Pixel zina shida gani?

    Sina hamu na hizi simu
  5. screpa

    JamiiForums Tanzania 2001 Dudubaya(Konki) na Mr Nice walipopigana kumgombea Barbou

    KUPITIA HII SRIDI NIMEBAHATIKA KUWAJUA MASHOGA KADHAA HUMU JF😅
  6. screpa

    JamiiForums Tanzania East coast na East zoo kundi gani ilikuwa kali?

    East Coast
  7. screpa

    JamiiForums Tanzania East coast na East zoo kundi gani ilikuwa kali?

    East Coast
  8. screpa

    JamiiForums Tanzania Ila Dar, mnapasifiaga bure tu. Hakuna lolote!

    Mbeya nimeishi, kuna raha gani kule?
  9. screpa

    JamiiForums Tanzania Ila Dar, mnapasifiaga bure tu. Hakuna lolote!

    Dar ni nzuri kwa Bata tu, ila kuishi hapana. Kero ni nyingi hasa foleni, makelele, joto, uchafu, nk
  10. screpa

    JamiiForums Tanzania Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

    Duh mambo ya kuanza kuanikana afya yameanza lini tena?
  11. screpa

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    The best game
  12. screpa

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Mungu ibariki Cape Verde
  13. screpa

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Leo silali kudadeki
Back
Top Bottom