Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,219
- 27,421
Ukisikiliza haya mapini ndio utagundua Mase alikuwa talented sana. I really do miss early 00' majanja wa kiwanja miaka hii wanapiga kelele tuWelcome back 🔥🔥
Diddy ni mafia dhulumati, alikuwa ni mtu wa kuangalia benefits zake tu
View attachment 3598864
Complex na Vivian ilishtua wengi sana
alafu kuna hii nayoo 🔥🔥
View attachment 3598868
Nakumbuka Welcome Back mwaka 2004 ulikuwa ujumbe wa kurudi kwake kwenye muziki baada ya kupumzika kwa miaka 5 ili kujihusisha zaidi na dini na kuwa mchungaji