Dakika za 80 atachoka anapigwa, baada ya hydration break wanapasuliwaHuyu kipa nomaaa
Ndio upumbavu wa timu za Africa, wao wanaona hawastahil kushinda wao wanataka draw tuuStrategy ya Cape Verde ni mbovu sana.
Huwezi kucheza mechi nzima unajilinda tu.
Best defense ni best offense.
Cape Verde ni kama wamekubali kuwa wao hawawezi kushambulia.
Kocha wao mjinga sana.
Kuwa compact na kumshtukiza ndio mwendo wa kuishi na Argentina na Cape verde wanauwezo huo.Strategy ya Cape Verde ni mbovu sana.
Huwezi kucheza mechi nzima unajilinda tu.
Best defense ni best offense.
Cape Verde ni kama wamekubali kuwa wao hawawezi kushambulia.
Kocha wao mjinga sana.
Mkakati wa hovyo kabisa huo.Kuwa compact na kumshtukiza ndio mwendo wa kuishi na Argentina na Cape verde wanauwezo huo.
Wamepelekewa kama mbili hivi imebaki kidogo wajiwekeWasije wakajifunga hawa