Recent content by scot

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takriban wiki ya pili sasa hatuoni dalili ya yeye kutafuta hata shughuli, yaani yupo tu

    Hujafikia uwezo wa kukaa au kuishi na familia wewe...unamdhalilisha mkeo na mwanao
  2. S

    JamiiForums Tanzania Sefue: Watumishi wa umma kuanza kuvaa sare zenye majina yao wawapo kazini

    Kwa hali ya nchi yetu ilpofkia sas ndicho knachohtajika hikoo..
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 16 Texts Every Man Wishes His Woman Would Send Him

    Mmmmmmmh
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa ratiba hii ya masomo vyuoni, Ijumaa hakuna kusali

    Joining instructions na sheria za chuo ulsoma vzur kabla kujiunga na chuo lakn.?kna wanafnya mitihan hadi j'mosi,wasabato wakamind..wakaambiwa wakaptie tena joining instructions na sheria za chuo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kibamba amemshauri Rais wa Zanzibar kutohudhuria Bungeni leo

    Umeongea points mkuu...wew unaonesha ni muislam safi na unaijua dini vzuri..hujaegemea upande wowte ndivyo inavyotakiwa hvoo ata mbele za bwana
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

    Usilitaje buree jina la mungu wako...kam ww ni muislam au mkristo,mungu ni m1 hakna mwngne zaid yake..usmfananshe mungu na vitu vya kipuuz
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni kweli yanga ni tawi la ccm-nimejitoa rasmi kusapoti leo

    Acheni siasa na michezo..mnapoelekea sas pabaya ni zaid ya kampeni..mkuwe basi
  8. S

    JamiiForums Tanzania udom wameshatoa majina ya waliochaguliwa...breaking news

    Na vyuo vngne vp
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Does education matters kwenye mapenzi?

    Exactly
  10. S

    JamiiForums Tanzania CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Yeaah'hiyoo point ya msingi saana..mdahalo wa wagombea uraisi ndo kila kitu..apo ambao hatuna chama ndo tutajua nani mkweli nani myeyushaji,nimpe nan kula yang October 25..tushaona hadi akina David Cameron wakifanya mdahalo ya wazo kwnye vyuo mbalimbali kipind cha uchaguzi na watu wanaulza...
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akifa mama yako mzazi au mke/mume wako yupi utaumia sana? Kuwa mkweli

    Weee jamaa unaleta uzi gani huoo..unakuja kumfanansha mama ako na mkeo umu...bila mama ako,uyoo mkeo angekujua ww
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nahisi Reginald Mengi ni billionaire wa (U$ dollars)

    Mengi anatoa msaada kwa kujionyesha mbele ya jamii kam show off
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwa kweli pengo la striker limeonekana wazi pia depay na carrick game ijayo kam wangeanzia bench vile..
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naanza kuona dalili ya serikali ya mseto

    Ni kweli ila ndicho knachohitajika kwa sas coz tumeona hilo Kenya na nazani umeona Kenya wapo wapi mpaka sas..angalia zanzibar,uozo unaofanyika uku bara tofaut kabsa na zenji..
Back
Top Bottom