Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

Mbowe.png
Chanzo:
Raia Tanzania
 
Hizi kura za kwenye magazeti ya aina hii hazifiki 20,000 kama ukizipat a zote!!
Kwa taarifa yako

Magufuli anaingiza kura 3 mpya

Na kupoteza kura 7 alizo kuwa Naz0 !!
 
Hizi kura za kwenye magazeti ya aina hii hazifiki 20,000 kama ukizipat a zote!!
Kwa taarifa yako

Magufuli anaingiza kura 3 mpya

Na kupoteza kura 7 alizo kuwa Naz0 !!

Hawa waandishi wanashindwa kujua jambo moja kuwa "mungu Mbowe hakosei,hatakosea na hatakuja kukosea.Lolote analofanya Mbowe ni SAHIHI.Hakuna kumhoji Mbowe.Yuko sawa milele mungu mbowe mkombozi wa masikini
 
Mimi ni ukawa damu lakini kwa hili nampa magufuli kura yangu ili atuletee tz mpya
 
watu wengine wanachekesha kweli, hilo gazeti linaitwa Raia tanzania na halina uhusiano na ccm ni gazet la jenerali ulimwengu ambae hata ukisoma makala zake nyingi sana hua anamsifia lowasa kimtindo, ila tu la msingi ni kwamba amewapa uhuru waandishi wake. kama huo ushahidi uliowekwa hapo ni wa uwongo, basi chadema na hasa mbowe akanushe, ikumbukwe kwamba hili lilikua gazeti la kwanza kabisa kutoa taarifa kwamba slaa alijivua uanachama wa chadema liliandika mwezi mmoja kabla ya slaa kutangaza rasmi

Hivi gazeti la Jenerali Ulimwengu siyo Raia Mwema kweli?
 
Uhamishaji wa fedha zinazodaiwa kuwa za CHADEMA takribani sh. Bilioni mbili kwenda benki za nje uliofanywa na Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe , imefahamika kuwa ulifanyika ndani ya wiki ambayo mgombea urais wa chama hicho , Edward Lowassa. Lowassa alihamia Chadema kutoka CCM mwishoni mwa julai mwaka huu baada ya kushindwa katika mchakato wa kuwania urais ndani ya CCM julai 12 mwaka huu mjini Dodoma , akidai kuonewa na Katiba kukiukwa.

Baadaye , Mkutano Mkuu wa Chadema , BILA KATIBA KUFUATWA ulimpitisha bila kupingwa kuwa mgombea urais wa chama hicho akiungwa na UKAWA, umoja ambao hata hivyo umeingiwa na mgogoro mkubwa kutoka na Lowassa kupitishwa kuwa mgombea urais anayeungwa mkono na umoja huo.
Kutokana na Lowassa kuwa mgombea urais ambaye alipitishwa pasi na maridhiano baina ya viongozi siyo tu ndani ya Chadema bali hata na vile vyama vinavyounda UKAWA yaani CUF, NCCR na NLD, Katibu Mkuu wa CHADEMA aliyekipatia umaarufu mkubwa chama hicho, Dr. Slaa na Mwenyekiti wa CUF taifa, Prof. Ibrahim Lipumba waliamua kuachia ngazi ndani ya vyama vyao baada ya kugundua mazingira ya Lowassa kujiunga CHADEMA na baadaye kuwa mgombea urais kwa NJIA YA RUSHWA. Pesa za CHADEMA zinazodaiwa kuhamishwa na MBOWE zinaweza kuwa sehemu ya rushwa aliyopewa ili kumruhusu Lowassa kujiunga CHADEMA.

Kwa mujibu wa gazeti la Raia Tanzania kupitia nyaraka mbalimbali walizokusanya, fedha zilizohamishwa kwenye akaunti ambayo ni maarufu ya ijulikanayo kama ARETRA WORLD WIDE LIMITED iliyopo mtaa wa Sheikh Zayed, Dubai Falme za kiarabu. Taarifa zaidi zinasema Agosti 5 mwaka huu , Meneja uhusiano wa Wateja wa NOOR BANK iliyopo Uarabuni ambako ndiko fedha za Kampuni ya ARETRA zilikuwepo , JUNAID ALI, alihamisha maelfu ya Dola kwenda Benki ya HSBC ya Hong Kong.
Ilikuwa ni saa 10.8 Alasiri ya Agosti 5 mwaka huu ambapo Dola 498, 860.28 zilipelekwa HSBC Hong Kong kutoka NOOR BANK, awali saa 10.04 Alasiri ya siku hiyo hiyo, Dola 302, 614.38zilitolewa kwenye benki hiyo kwenda HSCB Hong Kong.
Kumekuwepo na tuhuma ndani ya CHADEMA kwamba suala la ujio wa na hatimaye kupitishwa kuwa mgombea urais wa chama hicho pasipo kufuatwa kwa taratibu za kawaida limegubikwa na wingu la rushwa. Tuhuma ambazo hajitolewa ufafanuzi wowote na chama hicho.

source: Raia Tanzania
20151022_091116.jpg20151022_091038.jpg
 
Nikweli aliuza chama ila tumchague kwanza luwasa nabadaye tuunde chadema asili
 
Imeibwa wapi? Au ndo escrow? Je inaenda kuhonga wananchi wa Hongkong au? Ebu check hii ya Kinana.
 

Attachments

  • ccm.jpg
    ccm.jpg
    28.1 KB · Views: 419
kama watu wanatorosha pesa na serikali ipo,maana yake niserikali dhaifu inayo ongozwa na watu dhaifu.haifai tena
 
Hizi kura za kwenye magazeti ya aina hii hazifiki 20,000 kama ukizipat a zote!!
Kwa taarifa yako

Magufuli anaingiza kura 3 mpya

Na kupoteza kura 7 alizo kuwa Naz0 !!

Mbowe analijua na ndio maana anapiga deal mapema kabla ya date 25 atakapotangazwa Magufuli kua raisi,wewe endelea kutoa povu tu!
 
Wapiga dili tu hao, Mbowe ni Mbabe na Chama hiki kinafilisiwa na huyu jamaa!!!! Cdm mpaka mkome kumjua Mchaga
 
Wakuu nimeambiwa katika Raia Tanzania ya jana kuna mwendelezo wa kesi hii. Naona Mbowe kashikwa pabaya!
 
Hawa waandishi wanashindwa kujua jambo moja kuwa "mungu Mbowe hakosei,hatakosea na hatakuja kukosea.Lolote analofanya Mbowe ni SAHIHI.Hakuna kumhoji Mbowe.Yuko sawa milele mungu mbowe mkombozi wa masikini

Usilitaje buree jina la mungu wako...kam ww ni muislam au mkristo,mungu ni m1 hakna mwngne zaid yake..usmfananshe mungu na vitu vya kipuuz
 
Magazeti yameandika tuhuma kuhusu kuhama hama kwa mabilioni ya pesa za hela za kigeni.Vyombo vifuatilie movement ya hizo pesa zisije kuwa ni za kununulia silaha kwa nia mbaya na Tanzania.Vyombo vya ulinzi na usalama vishirikiane na vyombo vingine vya nje kufuatilia akaunti zake zote za ndani na nje zake binafsi ,familia na kampuni zao.
 
Back
Top Bottom