huyu blind anajua
Kwani Captain hawezi anzia Benchi kidogo? Mimi naamini akikalia Benchi akili zitamkaa sawa....
Najua kwanini umeamua kumtoa rooney as a scape goat halafu ukamuacha Depay 😛😛
Kama Mungu asinge umba bahati sijui ingekuaje? maana Manure mnapenya penya tu
Btw. Hongera kwa 3 points na kuongoza ligi kwa masaa kadhaa
Hatukufanya makosa
Mtani hata kipofu jana kaona Makosa ya Rooney si kwamba hatumpendi.
Tumpe muda tu likizo zilikua na mambo yake
Ngoja tumuone tena,sisi sasahivi shida ni striker kuliko kitu chochote kile safu yetu ya ulinzi imeimarika sana, mtani nawe wacheza lini na nani nisafishe hapa matarumbeta yangu na ngoma kabisaaa....lol
Sawa mtani wametuchelewesha kukutana nanyi kweli
Jumatatu usiku na Bournemouth jiandae kushuka pale juu
Najua kwanini umeamua kumtoa rooney as a scape goat halafu ukamuacha Depay 😛😛
Kama Mungu asinge umba bahati sijui ingekuaje? maana Manure mnapenya penya tu
Btw. Hongera kwa 3 points na kuongoza ligi kwa masaa kadhaa
Msimu huu tutavuna point 100 magoli 40
Hahahaahahaaaaaaaaa