Naanza kuona dalili ya serikali ya mseto

Naanza kuona dalili ya serikali ya mseto

Magufuli atakuwaje waziri mkuu wakati sio mbunge...?

Suala la waziri mkuu kuwa mbunge ni kwa utatatibu wa sasa lakini inapotokea mambo ya siasa yanakuwa ni maridhiano basi huwa kuna mambo yanayokubaliwa kama nje ya utaratibu, rejea kenya kwenye katiba yao hakuna waziri mkuu lakini ilibidi wakubaliane na waziri mkuu akawepo baada ya miaka mitano wakarudi kwenye utaratibu wao wa kawaida
 
Wananchi waazidi kuwa wamoja kwa kadri siku zinavyosogea. Hii ni dalili ya kupona kwa taifa letu. Mungu ibariki Tanzania
 
lazima wkubali kushindwa tumeshamualika Bensauda anakula norinda hapo angani.utaona kama watu hawajalijua jiji la Uholanzi.
 
Magufuli atakuwaje waziri mkuu wakati sio mbunge...?

unnamed%2B%252830%2529.jpg
 
wakati ccm inaanda sera ukawa wanagawiana madaraka tukutane oktoba
 
Wadau umuofia kwenu....

Ni wazi kwama kuna mabadiliko makubwa katika mienendo ya kisiasa ya Tanzania kwa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu Oct. 2015. Siasa za vyama vya pinzani vinavyounda UKAWA zimekuwa tishio kwa uhai wa chama kikongwe CCM.

Mabadiliko haya yamechangiwa na mambo mengi, lakini mambo 3 makubwa ni pamoja na kuungana kwa vyama vya upinzani, kuingia kwa Edward Lowassa kwenye upinzani na kubwa zaidi ni wananchi kutaka mabadiliko kwa hali na mali.

Mambo haya yameipa CCM kiwewe cha kushindwa uchaguzi mkuu 2015 hata kufikia hatua ya kusema ushindi ni lazima hata kwa bao la mkono. UKAWA nao wamejizatiti bara na visiwani kuhakikisha mwaka huu wanaingia ikulu.

Kutokana hayo sioni wakumuachia mwenzake ushindi kirahisi. Ni wazi kuwa tutalazimika kuunda serikali ya mseto ili kumaliza ubishi na kuepusha shari.
 
Kwa hali ya nchi yetu sas ili tuendelee tunahitaji serikali ya aina hyoo..anapokosea ccm ukawa wanamuadabisha...wanapokosea ukawa ccm wanamuadabisha...hakuna imani na raisi bunge linamhukumu kwa haki..sio upande m1 uwe ndio zisizo na maendeleo kwa wananchi
 
Urais atashinda Lowassa, ila kwa upande wa wabunge nafkiri chama tawala watakuwa na wabunge wengi kiasi.....

Mkuu mtu anaempigia kura raisi wa chama fulani ni wazi pia kuwa anampigia kura mbunge wa chama hicho hicho. Pia kumbuka raisi ana nafasi nyingi zaidi za kuchagua wabunge wa viti maalumu.
 
Kwa hali ya nchi yetu sas ili tuendelee tunahitaji serikali ya aina hyoo..anapokosea ccm ukawa wanamuadabisha...wanapokosea ukawa ccm wanamuadabisha...hakuna imani na raisi bunge linamhukumu kwa haki..sio upande m1 uwe ndio zisizo na maendeleo kwa wananchi

Kuendesha serikali ya mseto si jambo rahisi, ukizingatia wanaounda hiyo serikali watoka kwenye vyama tofauti, vyenye itikadi tofauti, sera tofauti na ilani tofauti. Kama sasa hivi Chadema ikishinda ina mpango wa kuanzisha serikali za majimbo (mgawanyo wa majimbo tayari ulishafanyika). Je ikitokea kuwa na serikali ya mseto muundo wa serikali utakuwaje?
 
Ni kweli ila ndicho knachohitajika kwa sas coz tumeona hilo Kenya na nazani umeona Kenya wapo wapi mpaka sas..angalia zanzibar,uozo unaofanyika uku bara tofaut kabsa na zenji..
 
Ni ukwelo ulio wazi, Mh Edward Lowassa anaweza kushinda uchaguzi wa october 25 sio kwa sababu kahamia UKAWA ila ni kwa sababu ya nguvu ya mvuto aliyo nayo yeye binafsi

Ni ukweli ulio wazi kuwa ushindi mkubwa wa chama chochote ndani ya UKAWA ni kati ya majimbo 40 hadi 60. Hivyo basi Lowassa atalazimika kurudi nyumbani kuteua PM

Kwa kuwa UKAWA na CCM watakuwa katika serikali moja, namuona Zitto akiwa mpinzani halisi hata kama atashinda peke yake ACT

Tutarudi kujuzana baada ya october...matusi kwenye huu uzi ruksa
 
Hata mm naona hilo, maana wanaweza wakapishana kwa kura chache sana hivyo kuunda serikali ya mseto
 
Magambas jipeni moyo...yaonekana kisu kimeanza kugusa mfupa....hakuna cha serikali ya mseto hapa wala kupishana kura,Jiandaeni kisaikoloji Louwasa ndiyo Rais....HUTAKI ACHA.
 
Back
Top Bottom