Recent content by SautiYaWatanzania

  1. S

    JamiiForums Tanzania Le mutuz akijirusha na teenagers ndani ya after xul bash

    Tuwalaumu kwa lipi?? Maana kwa taarifa tu hayupo uvccm yupo wazazi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Lazima CHADEMA Itashainda Morogoro

    LAZIMA ITASHINDA. Nina mashaka na kauli hii......ndio maana damu haiishi kumwagika
  3. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti: 'CHADEMA yanuka damu'

    Sheria za vyombo vya habari zizingatiwe. Tupa kapuni gazeti kama hili
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge na diwani wako kafanya nini jimboni mpaka sasa?

    Mbunge wangu anaranda na helicopter nchi nzima. Thats all. Pia amewahi kumsifia JK alipokuja jimboni
  5. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Mikutano na Dr.slaa ni Taabani huko Tabora

    Mmmmmm......mzee apumzike tu awaachie kina Lissu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mwkt UVCCM atangaza kumvaa Mbowe

    Ahahhaahahhahaah liwalo na liwe. Kwa taarifa za kitaa tu...Mbowe atagombea Arusha town na Kabaang atagombea Hai. Hahahahahahhaahhaahhaha
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hapa kuna haja ya mtu kutubu kwa Mchungaji Msigwa...

    Miaka 52(correction)
  8. S

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

    Mapokezi makubwa. Picha hakuna. Hahahahahhahahahahahahah
  9. S

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Nitapambana na Abood

    Umevaa......ukavua....kweli kwa chadema ya sasa unafaa.......bangi nibangue
  10. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufanya Mkutano Mkubwa wa hadhara Arusha Mjini kupinga Ongezeko la bei ya Umeme

    Chama kinapelekwa kwa matukio. No tukio chama kimekufa. Viva Mwigamba
  11. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Taarifa kwa umma kuhusu serikali kupandisha bei ya umeme

    Kama kawaida wazee wa matukio. Mwigamba ulisema kweli....tena kweli tupu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

    Kumbe na chadema yetu mafisi tu. Kweli nimeamini Tz wote walewale kasoro tarehe
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi: CHADEMA kuwa na mwenyekiti mpya tofauti na Mbowe ni hatari kubwa

    Tukumbuke historia ya chama chetu. Na CHAgga DEvelopment MAnifesto ndipo tulipoanzia. Mzee Mtei hakua mjinga kukianzisha hiki chama... na alitumia gharama kubwa.....na ni utashi wetu wachagga kufikiri, na kutenda vyema. Tuachieni kwanza tuwavushe....2025 tutawaachia makabila mengine. Kwa sasa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ona Uganda Walivyoiandika Tz Kuhusu Suala la Gas na Mafuta

    Wapeleke hukoooo......kinawaumaaa vile tumekataa kukulibaliana na ulanguzi wao.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

    Mmmmmm mbona hii CHAgga DEvelopment MAnifesto siielewi tena siku hizi..........kama waimba taarabu za mipasho hivi.
Back
Top Bottom