Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Status
Not open for further replies.
Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa umeingia Kigoma tayari, ukianzia Wilaya ya Kakonko.

Hivi sasa ni mkutano wa kwanza Kijiji cha Muhange, Kata ya Muhange. Amepata mapokezi mazuri sana huku akina mama, watoto, vijana na wazee wako mkutanoni.

Mkutano wa pili utakuwa jioni Kakonko mjini.

Source:Afisa Habari CHADEMA Tumaini Makene

c.c sixgates
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwa mapokeo makubwa mpaka sasa picha hujaweka tu????!!!!!

Let me be a doubtful Thomas
 
Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa umeingia Kigoma tayari, ukianzia Wilaya ya Kakonko.

Hivi sasa ni mkutano wa kwanza Kijiji cha Muhange, Kata ya Muhange. Amepata mapokezi mazuri sana huku akina mama, watoto, vijana na wazee wako mkutanoni.

Mkutano wa pili utakuwa jioni Kakonko mjini.

Source:Afisa Habari CHADEMA Tumaini Makene

Hana kamera au yuko lab work na mi adobe kama anavyodai TUNTEMEKE
 
Last edited by a moderator:
Mapokezi makubwa. Picha hakuna. Hahahahahhahahahahahahah

hapo kuna misukule hata hawajitambui wameshaamini tayri,chadema gani ilivyo na facilities wasiweke picha?mbaya zaidi hata ajasema atakuja na updates!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom