Pale hata munisi hana haja ya kutumia nguvu kubwa. Wananchi wameshaujua ulaghai wa mbowe. Na hakuna alichokifanya cha maana jimboni kwake toka apewe ridhaa.
hebu ieleze jamii ukweli , ulilambwa ban au utalambwa kesho ?Ban ya kivipi mkuu mbona out of point
Mwache aende kutimiza haki yake ya kikatibaHuyu dogo jinga sana. hana ubavu wa kwenda Hai. kama anataka kuaibishwa kwenye sanduku la kura aende
Huyu dogo jinga sana. hana ubavu wa kwenda Hai. kama anataka kuaibishwa kwenye sanduku la kura aende
Martin Munisi mwenyekiti UVCCM Arusha ametangaza kumvaa Mbowe jimbo la Hai nipo mkutano hapa Arusha
Wapo wengi tu Filipo Marmo, Basil Mramba, Dr.Chami, Kanali Masawe, na wengine wengi.Hivi kumbe CCM kuna wachaga! Ndio nasikia leo.
Martin Munisi mwenyekiti UVCCM Arusha ametangaza kumvaa Mbowe jimbo la Hai nipo mkutano hapa Arusha
Martin Munisi mwenyekiti UVCCM Arusha ametangaza kumvaa Mbowe jimbo la Hai nipo mkutano hapa Arusha
Wapo wengi tu Filipo Marmo, Basil Mramba, Dr.Chami, Kanali Masawe, na wengine wengi.
hebu ieleze jamii ukweli , ulilambwa ban au utalambwa kesho ?