Hapa kuna haja ya mtu kutubu kwa Mchungaji Msigwa...

ivi wewe na huyo unae mwita babu nani kahaba??sababu bora hata huyo kuliko wewe unafanya ukahaba na watu wa jinsia yako ndio mana hadi ukaja kuwa kua naye ni kahaba hakika ulipigwa msasa wa kutosha hadi unamsifia. Sababu najua huwezi kumuita mtu kahaba kama hajawahi fanya huo ukahaba na wewe ,sasa hadi unatoa ushuhuda kweli ulikolezwa mkuu.

wewe kama unataka kuthibitisha safiri naye alikimbia kanisa kwa kulawiti watoto wa kiume au hilo hulijui? Najua kijana wa altare unajaribu kumtetea mumeo hilo lipo wazi!
 
Hizi ndio akili fupi tunazoziongelea serikali imeanzisha VETA ili watu wasome na kuiendeleza wewe kwa ujinga wako umejigeuza mpigania uhuru; mwenzako babu maejikopesha hela za kujenga hekalu sasa huo mwaka wa Chadema kuchukua nchi haupo wewe kaa na ujinga wako!

great minds discuss idea(s), feeble minded people like chama discuss people, Babu atawapa presha sana na bado.
 
Last edited by a moderator:
Bavicha mapimbi wengi sana hivi wewe tembo zaidi ya kuwaona kwenye picha uliwaona wapi? hiyo Mikumi na Serengeti unaisoma Tanzania Daiam

Uko sahihi mkuu, na bahati mbaya kwake kwamba hata angejaribu kwenda huko Mikumi au Serengeti baada ya kuzisoma Tanzania Daima, ni bure kwani KINANA the famous dentist amesha wamaliza tembo wote na sasa hivi amehamia Selous kando kando ya Reli ya TAZARA, si uliona juzi kaacha mashangingi yachome mafuta na madereva peke yao na yeye akapanda TAZARA? Hushangai hajawahi panda Central Line? Kule hakuna tembo njiani. Sana sana huyu Ndugu ataona mafuvu na mifupa mitupu!
 
Usiwe na hofu, chadema ikichukua nchi hadi mashamba yatakuwa ya lami

Umewaza wee ukaishia hapo kwa uwezo ulio nao? Mbona hata ulivyo mnukuu anaongelea barabara na si mashamba kama ulivyo andika wewe? Aisee, eti wewe pia ni kada wa chama, INGURUVI YITUTANGE!
 
Uko sahihi mkuu, na bahati mbaya kwake kwamba hata angejaribu kwenda huko Mikumi au Serengeti baada ya kuzisoma Tanzania Daima, ni bure kwani KINANA the famous dentist amesha wamaliza tembo wote na sasa hivi amehamia Selous kando kando ya Reli ya TAZARA, si uliona juzi kaacha mashangingi yachome mafuta na madereva peke yao na yeye akapanda TAZARA? Hushangai hajawahi panda Central Line? Kule hakuna tembo njiani. Sana sana huyu Ndugu ataona mafuvu na mifupa mitupu!

Kalume kenge wewe kamsaidie babu Kigoma anakufa kwa presha!
 
mkuu sijaona uhusiano wa picha yako unaoonyesha ubovu wa barabara uliosababisha gari kukwama kitu ambacho ni physical na obvious na kutubu kitu ambacho ni moral. Makengeza nini

hembu angalia tena hiyo picture wewe kimeo ili angalau tukuone una hadhi ya kutiwa mtu.watu hawana hizi akili za kipuuzi.
 
Mbona hapo cha mtoto
Kuna barabara zapitika dry season tuu!!
Mie naona raisi awe ccm ila wabunge watoke vyama pinzan
Patapunguza rushwa na kudorota kwa mashirika ya umma!!
Itakuwa hakuna kulindana na kurithishana ma vyeo!!
 
hembu angalia tena hiyo picture wewe kimeo ili angalau tukuone una hadhi ya kutiwa mtu.watu hawana hizi akili za kipuuzi.
mkuu hapo kwenye red ndo busara yako ilipokomea? kwani ukichangia tu bila ya kutukana unapungukiwa na nini?
 
mkuu hapo kwenye red ndo busara yako ilipokomea? kwani ukichangia tu bila ya kutukana unapungukiwa na nini?

nilikuwa nasema Kuitwa si kutiwa....hiyo ni tofauti ya mkono na akili ktk mfuatano wa characters.KWa vile upo very biased and always unfair ukakimbilia hilo.
 
Back
Top Bottom