mosha jimmy
Member
- Nov 30, 2013
- 22
- 2
Chadema lazima waelewe wao ni tishio na adui namba moja kwa serikali, hasa kwa kipindi hiki tunapokaribia uchaguzi ni lazima chama hiki kiwe makini kuliko kipind chochote kile,kwasababu kimekua tishio kwa watawala,cku zote adui mwenye bunduki ukifanikiwa kumnyang'anya huokota mawe, na hapo ndipo walipofikia ccm,nadhani mliona jana mwigulu kuja na personal issue za mwenyekiti wa Chadema, Je watu wakiamua kuja na personal issue za mwenyekiti wake c aibu? Walimwaga mboga jana najua na ninaamini ugali utamwagwa cku yeyote na c mwingine ni kaka wa uoga dhambi, c busara kufanya hvyo lakini, lakini hata kwenye mchezo wa masumbwi wote huwa wanavaa gloves mmoja akivua na mwenzake inabidi avue,HUWEZ KUZIMA VITA INAYOTAFUTA HAKI