Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,139
yuko na teenagers wenzake hapo
Au ilikuwa ni PARENTS day?
yuko na teenagers wenzake hapo
Huyu nae anasoma shule gani? Maana mnaweza kumshambulia bure kumbe yupo na wanafunzi wenzake kwenye bash yao wanabashika!
yuko na teenagers wenzake hapo
eh you know...after xul bash
![]()
Alienda kuwaibia wanafunzi tu vim vyao. Mtu miaka zaidi ya 40 unakula kwa baba! Kichwa maji kweli
Hili jamaa si liligombea uongozi kwenye Jumuiya wa Wazazi? Sasa hapo kwa U-20 linatafuta nini?
eh you know...after xul bash
![]()
HILI KUBWA JINGA NALO TAABU TU. bt tusimlaumu bali tuwalaumu uvccm.
am interested with the bolded part, liko kwa maeneo gani hilo handaki?