sio moro pekee yake..chadema lazima ishinde nchi nzima.!
Na wanaamini Dr.Slaa akiwa rais. Basi maisha yao yatabadilika ghafla na kuwa nafuu hata bila kufanya kazi kwa bidii.Afande sele kama vijana wengi wa chadema akishakunywa pombe fulani inaitwa "burudani" akavuta bangi akili zake zinamtuma kuwa 2015 nchi itachukuliwa na chadema, na yeye atakuwa mbunge, na anajua atapewa uwaziri.
Na wanaamini Dr.Slaa akiwa rais. Basi maisha yao yatabadilika ghafla na kuwa nafuu hata bila kufanya kazi kwa bidii.
Kwa vile chadema ni chama cha wahuni anapata matumaini.afande sele yeye avute ndumu zake tu lakini siasa siyo sehemu yake vinginevyo atatia aibu tu.
Akili yako changa sana, soma historia, kuanzia akina mfalme Daudi, walikuwa wanamziki, unamkumbuka Shaba Robert, Unamkumbuka Bob Marley, Meriam Makeba je. Unajua nguvu zao za kisiasa.
Komba wa CCM Vipi?
kwa vile chadema ni chama cha wahuni anapata matumaini.
Afande sele kama vijana wengi wa chadema akishakunywa pombe fulani inaitwa "burudani" akavuta bangi akili zake zinamtuma kuwa 2015 nchi itachukuliwa na chadema, na yeye atakuwa mbunge, na anajua atapewa uwaziri.
Lema kafanya ubunge umekuwa kitu rahisi sana.
Lema kafanya ubunge umekuwa kitu rahisi sana.