Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

Mchange,
Kwa tamthilia yako hii hautaweza kupunguza kasi ya chadema kuendelea kujijenga na kuwakomboa watanzania ambao wamewekeza imani zao kuhakikisha chadema inakuwa mbadala wa ccm.

Zitto is doing good on his part.

Kaka Mchange, that is totally craap!!

Mkomboe watanzania? Hivi nyie WAGAZA mna akili sawasawa? Mnajifanya mna uchungu na nchi hii wakati hata uchungu na chama chenu hamna! Eti kuikomboa Tanzania! Mnafikiri vizuri kweli nyie! Nchi imekombolewa na wazalendo miaka zaidi ya 50 iliopita! Na maendeleo ni ya hali ya juu,ndio maana we hapo ulipokaa kijijini kwenu una nafasi ya ku chat through internet na kwenu panafikika kirahisi,na unao uhuru wa kubwabwaja kama chriku,kwa sababu ya maendeleo. Leo hii unaibuka na hoja ya ki mburula eti "kuwakomboa watanzania" toa takataka zako humu! Nyie pigeni hela na Mbowe wenu lakini ma zombie mengine yameanza kuamka! Mtalijua joto la jiwe!
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana nakufahamisha una akili za kuku na za kushikiwa, sasa ushindi hapo uko wapi?

Unataka kunilazimisha nijadili ushindi gani hapo?

Kwamba unataka kuhalalisha uchungu wa Zitto kwa CDM ni mkubwa kuliko wa Godbless J Lema kwa kuwa jamaa yako kalelewa na Mbowe tangu yuko UD au?

Unahalalisha lugha ya kuudhi aliyoitumia jamaa yako dhidi ya Lema kule Twitter iliyomfanya Lema kukasirika na kuja hapa kumwaga ugali?

Unataka ushindi gani kilaza wewe mwenye akili ya kuhongwa na kuhonga kila chaguzi?

mpaka mje kustuka,Lema keshakipasua chama chenu vipandevipande! Chezea jambazi Lema wewe!
 
Last edited by a moderator:
Binafsi namukubali zito kama mwanasiasa kijana na machachali,ila nina maswali kadhaa juu ya sakata lake kilichodaiwa taarifa ya siri1. kwa nini kila issu ya zito hujadiliwa kwa misingi ya ukabila kuwa yeye hutengwa ka vile si wa kaskazini? mbona wapo wengi wasio wa kaskazini ndani ya chadema 2.kawa nini ccm kupitia wasira na nchemba walitabiri kifo cha chadema ndani ya miaka miwili? kama hakukuwa na mipango juu ya utabiri huo? kwa nini zito hakushirika kwa ukaribu kwenye m4c?3. kwa nini zito alihusishwa na uasi wa akina mwampamba? 4. hv kuna maslahi gani ndani ya chama katika malumbano haya? 5. hv hata kama zito yuko kwenye mpango mbaya kuingamiza cdm atakubali? naomba wapenzi kwa pamoja tujiulize maswali baadala ya ushabiki wa watu. naomba kama hakuna jambo la hivyo tukae chini na kujadili namna ya kukiimarisha chama.

usiangaike hakuna chochote kuhusu zitto hayo ni mambo ya magamba kutaka kualalisha kwamba chadema ni chama cha kasikazini, hila hizo wanajaribu kuzitumia kila wakati lakini hawapati kitu na ccm isubiri kifo chake 2015
 
Ndio maana nakufahamisha una akili za kuku na za kushikiwa, sasa ushindi hapo uko wapi?

Unataka kunilazimisha nijadili ushindi gani hapo?

Kwamba unataka kuhalalisha uchungu wa Zitto kwa CDM ni mkubwa kuliko wa Godbless J Lema kwa kuwa jamaa yako kalelewa na Mbowe tangu yuko UD au?

Unahalalisha lugha ya kuudhi aliyoitumia jamaa yako dhidi ya Lema kule Twitter iliyomfanya Lema kukasirika na kuja hapa kumwaga ugali?

Unataka ushindi gani kilaza wewe mwenye akili ya kuhongwa na kuhonga kila chaguzi?

njoo tukutane uso kwa uso kutumia verified users. sibishani na vivuli vya watu waoga kama nyinyi ndio maana nimeandika hii post kutumia jina langu mwenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: kix
Mmmmmm mbona hii CHAgga DEvelopment MAnifesto siielewi tena siku hizi..........kama waimba taarabu za mipasho hivi.
 
Nilikuwa sijasoma jina lamuanzisha hii thread, niliposona na kujuwa kumbe ni yule mwizi wa simu basi nimeishia njiani.

kwani nawe ni mgaza,maana sijakielewa ulichokiandika,siasa za chuki,wivu,fitna,majungu na ushabiki zinarefusha maisha ya ccm TANZANIA.
 
Kwa wiki kadhaa sasa kumekuwa na mtindo wa kurushwa kwa shutuma mbali mbali kutoka kwa viongozi wajuu wa CHADEMA wakitumia majina bandia kumuelekezea ndugu zitto kabwe.

Kwa makusudi kabisa viongozi hao wakiongozwa na mwenyekiti, katibu mkuu na wakurugenzi kadhaa wamekuwa wakirusha kila aina ya shutuma humu mtandaoni lakini kwa hofu kubwa ndio maana wanajificha kwa kutumia akaunti bandia.

Jana na juzi nimepokea sms, emails na simu nyingi sana kuhusu hiki kinachoitwa ripoti ya siri ya SLAA, MBOWE NA WAGAZA WENGINE dhidi ya ZITTO zikisema namie nimetajwa humo kuwa ninashirikiana na Zitto kukihujumu CHADEMA.

Bahati mbaya sana, hakuna ripoti ama shutuma zozote anazopelekewa Zitto kutoka kwa hawa majamaa ambazo hazinitaji, na kwentye hii nayo nimeshuhudia nikitajwa mara nyingi kupokea pesa kutoka kwa Zitto kukihujumu chama.

Bahati mbaya zaidi ni kwamba wafadhili wa mkakati huu ''OPERESHENI ONDOA ZITTO KWENYE HOJA ZENYE MASLAHI YA TAIFA'' wamekosa njia sahihi ya kutumia, wamekuwa wakiwatumia watu wale wale ambao kwa zaidi ya miaka na miaka tumekuwa tukikitetea chama kuwa si cha namna hiyo.

kitendo cha MBOWE na SLAA kuwatumia JOSHUA NASSARY, GODBLESS LEMA, MAMUYA na wengine, kinauthibitishia umma wa watanzania kuwa sio kweli kwamba zitto ni tatizo kwenye CDM, kitendo hiki cha kuwatumia watu wanaolalamikiwa kuwa wanabebana kimisingi ya ASILI ya wanakotokea kinatuthibitishia watanzania kwamba CHADEMA ni chama cha watu wa eneo hilo.

lakini wamefeli zaidi kumtumia LEMA kuwa eti ni KAMANDA mwenye uchungu na CHADEMA kuliko ZITTO, hiki pia ni kielelezo cha upeo mdogo wa kufikiri kwa watu hawa.

ZITTO ni mjenzi wa NYUMBA inayoitwa CHADEMA, Zitto ameshiriki mpaka kuijenga CHADEMA tangu ikiwa nyumba ya nyasi, mpaka ikawa ya udongo, ikaja ikawa ya tofali za kuchoma na sasa CHADEMA ni nyumba ya VIGAE,

LEMA ni mpangaji tu kwenye hii nyumba CHADEMA, hakuna jinsi yoyote mpangaji akawa na uchungu na nyumba kuliko mwenye nyumba, hakuna na haitaka itokee.

LEMA ni mpita njia tu kwenye CHADEMA, Kamwe hawezi kuwa na uhalali wa kumsema na kumtukana mtu aliyekijenga chama kilichomsaidia kumfikisha hapo alipo.

Nani humu jukwaani alikuwa anamfahamu LEMA mwaka 2006, NANI?. nani alikuwa anafahamu lolote kuhusu lema 2007,2008,2009 mpaka 2010 kabla ya uchaguzi mkuu?.

Nani anayemfahamu Lema kipindi hicho kwenye CHADEMA?. LEMA ni TUNDA LA KAZI NZURI YA KISIASA ILIYOFANYWA NA ZITTO KABWE.

Wakati Zitto anahangaika kushirikiana na viongozi wenzake kuijenga CHADEMA, LEMA alikuwa ni KIBARAKA wa MZEE AUGUSTINO MREMA wa TLP.

Wakati Zitto anaibua hoja za msingi zenye maslahi kwa Taifa kama BUZWAGI na nyinginezo, LEMA bado alikuwa hata hajui chaguo lake la kisiasa katika nchi hii, yaani lema hakuwa akijua aende chama gani cha siasa.

Wanaokumbuka na wenye akili timamu watakubaliana nami kuwa ni zitto aliyekwenda Arusha kumnadi mgombea wa TLP wa udiwani wakati wa uchaguzi wa marudio 2008 huku lema akiwa mpiganaji kibaraka wa augustino mrema wa TLP.

wanachadema wanafahamu kuwa wakati tunafanya uchaguzi wa ndani ya chama mwaka 2009 LEMA ndio kwanza alikuwa ana siku 4 za uanachama wake ndani ya CHADEMA.

LEMA anapita tu njia CHADEMA kwa kuwa yeye ni msaka tonge tu kama wasaka tonge wengine, ndio maana alipita NCCR, ILIPOKUFA AKAKIMBIA, AKAPITA TLP ilipokufa akakimbia na sasa yupo CHADEMA nayo ikiyumba sidhani kama hataacha kukimbia. LEMA hana hadhi ya kukubali kutumiwa na kina MBOWE na GENGE lake kumshambulia ZITTO, hana hiyo moral authority. mpangaji hawezi kuwa na uchungu sawa na mwenye nyumba,

Leo CHADEMA ikipasuka, leo CHADEMA ikiyumba, ikitetereka atakayeumia ni ZITTO aliyeijenga na si LEMA aliyeidandia.

Nasisitiza hapa kuwa Hakuna namna yoyote ile inayoweza kumshusha Zitto kwenye heshima yake aliyojijengea kwa kusambaza uwongo wa namna hii, hakuna na hitakaa itokee.

Hakuna namna yoyote ile ya kumshusha zitto kwenye orodha ya wanasiasa bora na makini kwa kuwatumia watu kama kina lema na nassary ambao wakati wanaomba kura waliomba wakisema WATUMWE WAENDE BUNGENI WAKAWE KAMA ZITTO.

Again, ni rahisi sana kumshusha zitto kama kuna lolote baya amelifanya lisilo na maslahi kwa umma wa watanzania. ni Rahisi sana kumshusha na kumchafua zitto kama njia anazopita sio sahihi, LAKINI SIO KWA UWONGO WA KIPUUZI NAMNA HII.

Pamoja na kukiri kuwa Zitto ndiye mwanasiasa ninayemuamini na anayenivutia kuliko mwanasiasa yoyote Tanzania, na pamoja na ukweli kwamba zitto sio rafiki kwangu bali ni kaka yangu. Lakini sijawahi hata siku moja kupokea pesa kutoka kwake ama kwa MPESA au kwa TIGO PESA tangu nimefahamiana nae mpaka leo.

Ndio maana ninawapa pole MBOWE na vijakazi wake wanaotunga uwongo wa namna hii bila hata kujifikiria mara mbili mbili.

Uchaguzi mkuu wa ndani ya chama unawatia homa kundi la Mbowe na wagaza wenzake, uchaguzi huo unawafanya waweweseke kutwa kucha, mchana usiku.

Hakuna sababu ya kuhangaika na Zitto, wanachadema wapo na wataamua kwa yale mliyoyafanya, Zitto yeye ameshawaacha mile 2000 kwenye siasa zenye tija kwa Taifa.

Nimelazimika kuandika maneno haya baada ya kuona kuna huu ujinga unaofumbiwa macho na viongozi wa CDM kwa makusudi kabisa.
iliwahi kuandikwa humu mtandaoni kuwa ''Zitto ni maporomoko ya Nile, hayazuiliki kwa kifusi'' amewashinda na anaendelea kuwashinda.

Narudia tena kusema KWENYE HILI TAYARI ZITTO AMESHASHINDA.

1. Aliwashinda kwenye uwongo wenu mliokuwa mkiusambaza wa kupokea rushwa TANESCO lilipobumbuluka wakina mnyika, lissu na nassary wote waliufyata.

2. Aliwashinda mlipounda tume ya kumchunguza kuasisi migogoro ndani ya chama.

3. Alishinda kwenye hoja ya Buzwagi

4. Alishinda kwenye hoja ya kuwatimua mawaziri vilaza kwa kutoa hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu

5. Amewashinda kwenye hoja ya kuficha mali nje ya nchi (kama mabilioni ya uswisi) leo mnatapa tapa kwa kuwa bossi wenu anamiliki mali uarabuni.

Naomba niwakumbushe kuwa zitto ndiye mwanasiasa pekee wa upinzania anayeweza kuilazimisha serikali ikafanya maamuzi kutokana na hoja yake hata kama haipendi kufanya hivyo kwa wakati huo. Mfano ni hiyo hapo juu.

Naomba nihitimishe kwa kusema, ni kweli kwamba uwongo unapanda ghorofa kwa kutumia klifti, lakini hauwezi kubadilisha ukweli wa mambo daima dumu. uwongo utabaki kuwa uwongo tu na utaendelea kupuuzwa milele na milele.

Ndimi,
Habibu mchange
0762178678
mchangehabibu@yahoo.com

Mambo kaka,eti unakumbuka kipindi kile zitto amewakana kwenye mtandao kwamba hajawai kuwekewa sumu,halafu akasema muachane nae muundelee na siasa zenu,unakumbuka ulichosema? nakukumbusha:kwamba zitto awe makini mkiamua kutoa siri zake za kisiasa aitachukua muda kumuangusha kisiasa kwa siku moja tu kwahyo asirudi nyuma kwenye mapambano yenu.kama hautojari tushirikishe hizo siri kaka ndio uendelee kumsafisha
 
Umeandika utumbo mwenyewe, utasoma mwenyewe ukishirikiana na masalia wenzako plus Lumumba project. Or else ni nani mwenye akili timamu atapoteza muda wake kusoma all this long rubbish?

Mkuu kabla ya kumkejeli, ungesoma tu hata kama ni rubbish ili uwe na moral authority ya kumpondea! Sasa wewe hujasoma kilichoandikwa ila umeamua kumshambulia mleta mada. Wakati mwingine lazima tukubali kwamba ujinga unatuangamiza na utazidi kutuangamiza. Weka unachokifahamu wewe kuliko ku-claim ni mtu wa Lumumba bila sababu! Ukweli utabaki kuwa ukweli, mwanzoni nilikuwa naona kwamba yanayosemwa mitandaoni ni ukweli kuhusu ZZK, ila kwa style inayoonekana, ZZK anaonewa na kuzushiwa uongo. Ikiwa kama mwenyekiti au katibu wake hajajibu lolote kuhusu huo uongo, inanipelekea kuamini kwamba CDM haina muda na wenye hatima ya CDM ni sisi wanachama sio ZZK, Slaa wala Mbowe na Lema (juha asiejitambua)

Bila kificho wala unafiki, siasa za ZZK ni too "scientific" kiasi kwamba wenzake wamepotezwa kabisa ndani ya chama! Leo hii ZZK akiondoka CDM, kubali ukatae, lazima chama kitayumba. Ni ukweli ila huenda usielewe ninachokuambia!
 
sasa mkuu kama anaona au hata wewe unaona kuwa waliosema kuwa zzk anatumiwa wankosea au ni waongo basi yeye atolee maelezo ya kukanusha jambo hilo na cyo kutoa maneno ya juujuu tu. na siyo kweli kuwa lema anatumiwa eti kwa kuwa ni mpangaji no! kama ndivyo basi wanachama wengi watakuwa wapangaji kwani enzi za chama kimoja ilikuwa ni lazima kwa kila kijana kujiounga na tuliopona ni vijana wa kuazia umri wa 45 kurudi nyuma. mie binafsi nilidhani kama zzk anaonewa basi atuambie kuwa alipokutana na TISS ilikuwa inahusu nini? na hizo pesa alizokuwa anatumiwa zilikuwa ni za nini? na huyo mjerumani alipokuwa anadoubt kuwa haitamletea matatizo, alikuwa anamhoji zzk ili iweje wakati ilikuwa dili sahihi? acheni kumtetea zzk kwa hoja nyepesi, tunataka maelezo ya kina. na ni vema ajue kuwa kakikosea chama hivyo ni bora kukili makosa kuliko kuendelea kusumbuana na viongoz wakubwa.
 
Mambo kaka,eti unakumbuka kipindi kile zitto amewakana kwenye mtandao kwamba hajawai kuwekewa sumu,halafu akasema muachane nae muundelee na siasa zenu,unakumbuka ulichosema? nakukumbusha:kwamba zitto awe makini mkiamua kutoa siri zake za kisiasa aitachukua muda kumuangusha kisiasa kwa siku moja tu kwahyo asirudi nyuma kwenye mapambano yenu.kama hautojari tushirikishe hizo siri kaka ndio uendelee kumsafisha

hebu leta hiyo link ya hayo maneno niliyosema.

nasisitiza hapa hakuna haja ya kutoka nje ya mada, waambieni wanaowatuma wawatume mje na majina yenu halali msije kikivuli kivuli.
zitto amewashinda na ataendelea kuwashinda
 
sasa mkuu kama anaona au hata wewe unaona kuwa waliosema kuwa zzk anatumiwa wankosea au ni waongo basi yeye atolee maelezo ya kukanusha jambo hilo na cyo kutoa maneno ya juujuu tu. na siyo kweli kuwa lema anatumiwa eti kwa kuwa ni mpangaji no! kama ndivyo basi wanachama wengi watakuwa wapangaji kwani enzi za chama kimoja ilikuwa ni lazima kwa kila kijana kujiounga na tuliopona ni vijana wa kuazia umri wa 45 kurudi nyuma. mie binafsi nilidhani kama zzk anaonewa basi atuambie kuwa alipokutana na TISS ilikuwa inahusu nini? na hizo pesa alizokuwa anatumiwa zilikuwa ni za nini? na huyo mjerumani alipokuwa anadoubt kuwa haitamletea matatizo, alikuwa anamhoji zzk ili iweje wakati ilikuwa dili sahihi? acheni kumtetea zzk kwa hoja nyepesi, tunataka maelezo ya kina. na ni vema ajue kuwa kakikosea chama hivyo ni bora kukili makosa kuliko kuendelea kusumbuana na viongoz wakubwa.

chama kinatakiwa kitoe tamko la kukanusha, sio kupitia email tamko kwa umma.
na kiseme hadharani kwamba hiyo ripoti siyo ya chadema.

hakiwezi kufanya hivyo kwa sababu ni dhahiri kuwa hii ni kazi ya MBOWE, SLAA, LEMA na GENGE LAO.
 
Mambo kaka,eti unakumbuka kipindi kile zitto amewakana kwenye mtandao kwamba hajawai kuwekewa sumu,halafu akasema muachane nae muundelee na siasa zenu,unakumbuka ulichosema? nakukumbusha:kwamba zitto awe makini mkiamua kutoa siri zake za kisiasa aitachukua muda kumuangusha kisiasa kwa siku moja tu kwahyo asirudi nyuma kwenye mapambano yenu.kama hautojari tushirikishe hizo siri kaka ndio uendelee kumsafisha

Hawezi kusema maana walipigwa chale za makalioni. Chezea waganga wa Kigoma weye! CC @/Mchange
 
waambie sasa WAGAZA wenzio waache kumchafua kwa majina bandia.
unajidai upo neutral kwa verified user ukiingia porini unamtukana.
lazima tubadilike

Mkuu hiyo labda ndiyo tabia yako. Ila kwa ile ya Tunte mko makini kweli sijaona matusi zaidi ya tuhuma za uwongo...
 
Mkuu kabla ya kumkejeli, ungesoma tu hata kama ni rubbish ili uwe na moral authority ya kumpondea! Sasa wewe hujasoma kilichoandikwa ila umeamua kumshambulia mleta mada. Wakati mwingine lazima tukubali kwamba ujinga unatuangamiza na utazidi kutuangamiza. Weka unachokifahamu wewe kuliko ku-claim ni mtu wa Lumumba bila sababu! Ukweli utabaki kuwa ukweli, mwanzoni nilikuwa naona kwamba yanayosemwa mitandaoni ni ukweli kuhusu ZZK, ila kwa style inayoonekana, ZZK anaonewa na kuzushiwa uongo. Ikiwa kama mwenyekiti au katibu wake hajajibu lolote kuhusu huo uongo, inanipelekea kuamini kwamba CDM haina muda na wenye hatima ya CDM ni sisi wanachama sio ZZK, Slaa wala Mbowe na Lema (juha asiejitambua)

Bila kificho wala unafiki, siasa za ZZK ni too "scientific" kiasi kwamba wenzake wamepotezwa kabisa ndani ya chama! Leo hii ZZK akiondoka CDM, kubali ukatae, lazima chama kitayumba. Ni ukweli ila huenda usielewe ninachokuambia!

safi mkuu. endelea kuwaelimisha na wengine
 
unakijua unachokisema wewe?. ni kipindi gani ambacho chadema imekuwa kwa kasi na kwa nini?. acha kuongea ----- mkuu. lema hawezi kutumiwa kupambana na zitto, hawapo sawa hata kidogo

Jibu hoja kaka acha kubwabwaja LEMA LEMA LEMA amekushika wap?
 
Mchange,
Kwa tamthilia yako hii hautaweza kupunguza kasi ya chadema kuendelea kujijenga na kuwakomboa watanzania ambao wamewekeza imani zao kuhakikisha chadema inakuwa mbadala wa ccm.

Zitto is doing good on his part.

Kaka Mchange, that is totally craap!!

Mkuu unajitambua kweli wewe?? Kasi gani ya CDM unayoizungumzia wewe? Uzushi na uwongo ndo kasi ya kuijenga CDM? Kumbuka kuwa CDM ina watu waliowekeza akili na muda wao kufika hapo ilipo leo hii. Imefikia mahali pazuri wanakuja mbarara kama Lema na Nasari bila kutadhimini mchango wa waliotangulia na kuanza kuwazushia uwongo! Kubali au kataa kasi iliyopo CDM sio ya kujenga bali ni ya kubomoa ambayo ndio unaizungumzia wewe.
 
Sasa naanza kuona mimi nina msimamo tofauti na kila mtu humu... Maana binafsi naamini uimara wa CDM umejengeka na unaendelea kujengeka kama umbo la pembe tatu; Mbowe+Slaa+Zitto. Na yeyote anayeattack pembe yeyote kati ya hizi tatu mi namuona kama anakosea au anatumika na maadui wa CDM...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom