Afande Sele: Nitapambana na Abood

Afande Sele: Nitapambana na Abood

Kila la kheri king of rhymes lakini msumeno wa mbunge awe na degree utakukata,mr 11 naye yuko kitanzini mbowe imemkosa kidogo........,lema ni muhanga pia

Ungewapa pole kwanza wabunge wako std 7 kina Majimafupi,lakairo,kasu na wengine. Hii ni kwa sababu, rasimu ya katiba imesema rais tu ndio sharti awe na jiwe,mbunge ni cheti cha angalau kidato cha NNE. Usidanganye kapuya wewe!Afande Sele,SUGU NA LEMA WANAVYO HIVYO VYETI.
 
Jamani rasimu ya Katiba mpya inasema sharti la mbunge ni elimu f.4.<. Sio digrii. Someni rasimu ibara ya 117. (1)b. Hivyo Afande Sele ruksa kugombea!
 
Ungewapa pole kwanza wabunge wako std 7 kina Majimafupi,lakairo,kasu na wengine. Hii ni kwa sababu, rasimu ya katiba imesema rais tu ndio sharti awe na jiwe,mbunge ni cheti cha angalau kidato cha NNE. Usidanganye kapuya wewe!Afande Sele,SUGU NA LEMA WANAVYO HIVYO VYETI.

Mmmmmh wazo la daktari hili????!!!!
Kweli hakuna haja ya kutofautisha???!!!!!

Sababu CCM wapo basi tujazae tu hilo bunge watu wasio na uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo????!!!!

Mimi siungi mkono hoja hata kama ni haki yao kugombea huko tunahitaji big brains!!!!!!
 
Jamani rasimu ya Katiba mpya inasema sharti la mbunge ni elimu f.4.<. Sio digrii. Someni rasimu ibara ya 117. (1)b. Hivyo Afande Sele ruksa kugombea!

Kwa sababu ni haki yake au sababu ana uwezo huo???!!!
 
Safi sana tumechoka kuongozwa na hao wakina Abood ambaye tangu aingie bungeni hajawahi kufungua huo mdomo utafikiri umeshonwa yupo pale kutafuta zabuni lakini sio kusaidia wananchi wa morogoro mjini

Watu wa Morogoro wana fikiri kwa kutumia akili na madhara ya degree za mbege na mabange wanayajua,
Tafuta matusi ya kuwatusi si hayo ya kwenda kuwaimbia watu bungeni,

Yeye aje awaimbie huko kwenye mbege na kwa washona viatu.
 
Kwakweli mi ni chadema wa kufa.

Lakini kwa afande Sele, cant vote for him. Huyo ni njaa tu na misifa isiyokuwa na lazma anatafuta.
 
si kosa lako mkuu.

Kweli ni kosa la huyu 1385731543899.jpg
 
Alivyo vua suruali jukwaani kila mtu alimuona mhuni na mvuta bangi leo hii kajiunga Chadema anaonekana anafaa. Kweli unafika hulka yetu...

Mkuu watapatapaji ni hao na utawajua, ndo sawa na sakata la Zitto,
Wao wanajifanya kuikagua Serikali mara kugeuziwa wao pia kufanyiwa uchanguzi huo tayari mtu anaonekana msaliti,

Ukanda bwana..! Kaaazi kweli kweli
 
Ana mipango gani ya kuleta maendeleo? Au ndio kwenda kuruhusu bangi bungeni! Eti apambane na Abood! Hao washabiki wake wote hawajawahi kujiandikisha kupiga kura! Atapambana vipi? Kweli tuwe na mbunge mvuta bangi na teja bungeni? Hata kama wana Moro wameichoka ccm sidhani kama watamchagua huyu teja! Mihemko haina maana ktk uchaguzi. Tujiulize, Sugu ameleta maendeleo gani mbeya? Mnyika ubungo ameleta nini? Lema huku kila siku maandamano,leo mnaongeza teja lingine kwenye orodha! Wana Moro ni waelewa hawawezi kufanya uchguzi huu kwa Teja na mbwia unga kama Sele!




Ni marais Wa ngapi duniani na wabunge Wa ngapi duniani waliowahi kuvuta Au wanavuta bangi na madawa ya kulevya?
Suleiman Msindi ni mwanaharakati Tangu zamani na Nyimbo zake zinaonekana tu!
Ni vema kumtakia kila Lakheri na si kumbeza!
 
Mmmmmh wazo la daktari hili????!!!!
Kweli hakuna haja ya kutofautisha???!!!!!

Sababu CCM wapo basi tujazae tu hilo bunge watu wasio na uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo????!!!!

Mimi siungi mkono hoja hata kama ni haki yao kugombea huko tunahitaji big brains!!!!!!

Kwa vigezo vyako hivyo basi Nyie mngeongoza kwa wabunge akili nzuri Lakini ndo mna Ma mburura pamoja na elimu zao!
 
Watu wa morogoro si wavuta bange abood ndo chaguo la wengi akavutie bange zake kule chamwino na vibaka wenzie
 
Kwa vigezo vyako hivyo basi Nyie mngeongoza kwa wabunge akili nzuri Lakini ndo mna Ma mburura pamoja na elimu zao!

Mimi na kina nani???!!!!
Never associate me with any group with political purposes mkuu. M a one free rider! !!!!!!Fikra huru mwanzo mwisho no affiliation wala inclination!!!!!!

Kama uamuzi wangu wooote hao saa hizi wangekuwa vilio tu!!!!!
Huna degree go do some other businesses sio kukaa kwa maslahi ya umma,ningeonekana mbaguzi sijui nini potelea mbali!!!!!!

So kawaambie na wenzio!!!!
 
:welcome:
watu jamii ya sugu, lema, nyasari, kibajaji na huyo aitwaye sele aliyefukuzwa jeshini na mvua nguo sidhani kama pale bungeni panawafaa. hawana mchango wowote zaidi ya matusi tu. kwanini chadema et al. wasiteue watu wenye akili zao kuliko hizi takataka? au ndo masilahi ya chama kwanza taifa baadaye?

Abunuas;
Umefika huko? Huna hata hofu kabisa kuonyesha chuki yako hivyo? Hivi weye ulizaliwa na mwanamke au ulidondoka kama senene za kwetu? Unaonesha chuki kiasi cha kumwita mtu ka weye ati "Takataka". God forbid! Jamani, hata kama nimekuchukia kiasi gani nisikuite hivyo.
Kakosa maadili, sawa, kabuia sembe sawa, lakini bado ni mwanadamu si Takataka. Anayo familia ka weye na kama tukiendelea hivi, na hilo lichama tawala likiwa linafanya madudu haya ya kuuza sembe mpaka wabunge wake wanauza, sidhani itachukua muda kabla haijauzwa huko huko mjengoni. Si wabunge wake wanajidai kuwa ni sifa watoto wao wanauza hadharani na hakuna wa kuwafanya lolote? Biashara kutoka banaa. Wateja popoteee, hivyo si shida kuupanua ungo wamwuzie naibu. na supika yake kwani nini banaa mteja ni mteja tu. Unamwogopa Afande Sele, ngoja wamalize wateja huku hata mjengoni watapiga hodi.
Acha kutukana wanadamu ka weyee.
 
Afande akiwa Mbunge hapo moro, ganja itakuwa ruksa kuvutwa hadharani .

Kama ilivyo sasa ktk Ujangili, Sembe na Marijuana mpaka gari za walinda usalama zinajali kazi bila kujali maadili ya kazi.
 
Hawa ndio watu padri na viongozi wenzake wa kanda ya kaskazini wanawapenda ili waabudiwe, sasa mwananchi mwenye akili yake atakubali vipi kuongozwa na kichaa kama huyu? Lakini sasa naweza kuamini akili ndogo kuongoza akili kubwa na na ni kawaida dj kuwa close na wachana mic kuliko wasomi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom