Nimekuwa nikifuatilia sana mikutano ya CUF nimegundua kinacho wasumbua CUF nipamoja na: chama hiki cuf kinazidi kuwa changa, kimekosa wasomi, kimejaza udini ndani yake ndomana walitaka kumfukuza mtatiro wakidai ni kibaraka wa chadema, pia chama hiki hakina mtu mashuhuri zaidi ya Lipumba,chama...