Wazo zuri Mkuu Kwani Uzini CHADEMA Walitumia Milioni MIA TATU Waliambulia Kura 285, sasa huku ni kufuja fedha za umma hujawaangalkia CCM walitumia zaidi na Setrikal;i zaidi ni kweli ip[o haja ya kumpa mshindi wa pili nafasi kwani alishapigiwa kura na wqananchi. Taarifa Kutoka kwa Zitto kabwe amesikika Kuwa CHADEMA ARUMERU Wametumia BILIONI MOJA NA MILIONI MIA MBILI Hili ni balaaaaaa
Tatizo letu watanzania tuna tabia ya kutaka kuwa cost conscious kwa vitu ambavyo tunaona tuna faidika navyo na si kama desturi ya kufuata ukweli.Hivi wanademokrasia wa kweli ni haki kuangalia cost au ni ukweli ni kuangalia Demokrasia imesimikwa kwa kiasi gani kwa faida ya wananchi haijalishi wataungana na dhamira ya demokrasia yao waliyoitafuta kuzalisha kiasi gani cha kupita mara dufu ya gharama walizotumia kuinvest demokrasia yao hiyo.
Haya ya Mtatiro siitaji hata apewe nafasi ya kusikilizwa kwa kuwa tayari Gagnija akimjibu Angel Msofe anasema
"Kama umesoma mawazo yangu. Huu ni wivu tu kwa kuwa wanaumizwa na mafanikio ya CDM." Ukweli CUF kwa Tanzania bara ndio hivyo tia maji tia maji,hivyo anajaribu kuwasituha CCM kuwa kwa kuwa nao hali si shwari na kuwa CDM wanaonekana kwenye kuelekea kwenye ustawi basi wastukie kucheza faul ya kuibua misemo na mambo ya kubuni juu kwa juu kupitia NEC kuwa Serikali ipendekeze ushauri wake huo kwa nia ya kuondoa gharama kwa Serikali, hivyo iwafaidishe wao na ikibidi CCM japo hawakumtuma.
Demokrasia daima itapandikizwa na kujengwa kwa gharama kubwa haijalishi vipi au kiasi gani cha pesa kinatumika,huo ndio ukweli, mfano kupitia uchaguzi wa Aumeru. Sio demokrasia imeingia tu kwa wanaarumeru bali Nchi nzima imefaidika sana kupitia uchaguzi huo wa kidemokrasia na demokrasia imepanuka na watu wamejifunza mambo mengine sana kuhusu uchaguzi,ambayo ni taofauti kama uchaguzi ungekuwa nchi nzima concentration isingekuwepo kama ambavyo
TAIFA zima liliweka macho na masikio yake Arumeru na kuona mambo mengi kwa
jicho pana na la umakini mkubwa na kuibua mambo ambayo katika chaguzi za kawaida yalikuwa yanaonekana ya kama ya kawaida.
Kwa sasa kupitia uchaguzi wa Arumeru mambo ya kizamani business as usual sasa ukulasa huo umefungwa na kuzikwa.Timu ya mgombeaji ubunge au udiwani haiwezi kupanda kwenye jukwaa wakamwaga tuhuma juu ya mtu zisizo na ushahidi mbele ya wananchi,hapo hapo hawawezi kutukana au matumizi ya lugha mbaya na bado jamii ikakubaliana nao kama ilivyokuwa zamani.Hayo yaliyokuwa yakifanyika zama hizo wakati huo yalikuwa wakati huo lakini sio sasa, na yamekuwa bye bye kwa sasa.Hivyo hiyo ndio
faida ya chaguzi ndogo ambazo zinabeba akili ya Taifa zima kimtizamo.
Hayo ya mabilioni mangapi yametumika, kiuchumi,kwanza pesa hizo zimeingia kwenye jimbo husika na kupanua hali ya uchumi ya jimbo husika na kuleta ustawi kwa umma eneo husika. Hakuna cha hofu kwani zimeenda kustawisha nchi tofauti hivyo tuone hofu na mashaka na kuwa kuna umuhimu wa kusitisha uku tukitumia opportunit cost method theory kuwa gharama za uchaguzi zina umuhimu zaidi ya demokarsia kwa kuwa zile gharama zinakwenda kusitawisha Taifa jingine.Hivyo tuone kuwa demokrasia haina maana kwetu kuliko gharama tutakazo serve kupitia chaguzi hizo ambazo bado ni za kwetu wenyewe kwa kuwa jimbo lenyewe ni ndani ya Taifa letu wenyewe na bado kodi italipwa na kuludi kwa Taifa lile na Serikali ile ile.
Kama vipi huyo Mtatiro ni sizitaki mbivu hizi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Sungura nakuambia aahhhhaa aaahhaaa!!!![Kana nke aghutana Mura atighee urwambeeee!!!]