Ukombozi umeanzia kaskazini, kanda ya ziwa, kidogo MBY+IRG, hatimaye utamalizikia LINDI+MTWARA+ZANZIBAR,etc...Peopleeeees.....poooooweeeeerrrrrr
kumekucha, kamanda james ole millya baada ya kuufuata upepo wa mabadiliko unauvuma vizuri tu ndani ya tanzania na kuanza kusomba ngome ya ccm- staminaz ndani ya arusha,ataingia ndani ya ngome ya ole sendeka,hapa simanjiro. Vijana wapatao 3,000 ndio watakao msindikiza kamanda wao huku simanjiro na kuanza kazi ya kufungua matawi ya chadema ndani ngome ya ole sendeka ( ccm )na kilicho kibaya zaidi ni namna ole sendeka anavyo hahaaa kuuzia maandamano hayo kwa kuwatumia polisi ! Polisi nao wamekataa kumzuia ole millya kwa kudai kuwa ni mzawa wa simanjiro na ana haki kufanya lolote la kisiasa ndani ya simanjiro ! Upepo wa movement for change unamtisha sana ole sendeka.....!
vuguvugu la kaskazini!
Mkuu mvt4c inaongozwa na mungu na si binadamu hata jk analijua hili hio usishangae sana tukitoka tunarudi bagamoyo ,chalinze kueleza wale watu kwanini wanaongozwa na rais kutoka huko miaka 10 wanaishia kuishi kwenye nyumba za udongo kama si laana ninini??
Mkuu umenichekesha sina mbavu. Hakika M4C ni nouma. Nadhani this time round hata wakitumia aero application ya insecticide lazima nzige waache shamba completely diverststed beyond repair.CDM nikama nzige usiombe wavamie shamba lako utajuta kuwa mkulima.m4c ni noma
Hili vuguvugu ni wa geti hadi geti!
Mpk kieleweke!
2015 ndio break!
Mafisadi kwisha mbinu zao kudadekiiiiii!!
yaaaap! hapo hapo! na watajuta safari hii! watatumia polic n.k lakini hawataweza!!! peopleeeeeeeeees poweeeeeeeeer!
kuna dalili ya majimbo yote ya arusha kuchukuliwa na CDM
Nimefanya utafiti wa kuongea na askari polisi kadhaa jijini Dar na baadhi ya mikoani, karibu polisi wote nilioongea nao wanaonyesha wazi walivyochoshwa na mfumo wa serikali ya nchi hii na mfumo mbaya wa utendaji wao. Ningeweza kuweka hapa baadhi ya majina yao, lakini kwa sababu ya usalama na kulinda kibarua chao, ni vema kuyasitiri. Polisi wengi wanasema wayafanyayo ni kwa sababu ya mfumo wa kazi yao ya kutekeleza agizo la juu bila ubishi huo ndio mfumo wa kazi yao, ingwa moyoni wako mbali kabisa na maagizo ya wakuu wao.
Sendeka kapandwa na presure nasikia anakikao cha ndani na wasira,lusinde wakaokoe jahazi simanjiro.
kuna dalili ya majimbo yote ya arusha kuchukuliwa na cdm