Recent content by sanchez255

  1. sanchez255

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Kijiji chaajiri Waganga wa Kienyeji kutoka Congo kumaliza Ushirikina Shuleni

    Uongozi wa Kijiji cha Kabwe, Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa umeafikia uamuzi wa kuwaleta waganga wa kienyeji kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ili kuondoa mambo ya kishirikina yanayowaathiri wanafunzi wa kike katika Shule ya Msingi Kabwe. Mwenyekiti wa kijiji hicho, Richard Madeni...
  2. sanchez255

    JamiiForums Tanzania BURUNDI: Wawili wafungwa kwa kumchezea rafu Rais Nkurunziza aliposhiriki katika mchezo wa soka

    Eti anapewa nafasi ya upendeleo ya kushinda magoli..
  3. sanchez255

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Upo maeneo gan? kama upo dar ni pm
  4. sanchez255

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Vijana changamkieni fursa hiyo..
  5. sanchez255

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa dini (Ustaadhi) ahukumiwa kifungo jela baada ya kumlawiti mtoto wa kiume

    Sijui kwanin hawa walimu wa madrasa wanakuwa na tabia za kulawiti watoto
  6. sanchez255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kuanza maisha ya kujitegemea

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  7. sanchez255

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyezalishwa na Ney wa Mitego kisha kutelekezwa amlilia Diamond Platnumz

    Watu wa Ajabu sanaa ila me nna adabu sanaa.. Mabeste hapo nilkusoma mwana.. Wasanii wanaroga sana @yougkiller
  8. sanchez255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Tatizo la kutojiamini

    We ni jinsia gani? Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
  9. sanchez255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni msaada nimechanganyikiwa

    Sasa kama wazazi hawana shida.. Huyo mchungaji inamuuma nin? Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
  10. sanchez255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NINI FAIDA YA KUFANYA MAPENZI

    Sasa picha ya nini janja.. Afu hilo getto Au stoo
  11. sanchez255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya wanawake kuringa na kujisikia

    Mzee Baba pambana na hali yako.. Huenda ikawa ndo kikwazo cha kutoitikiwa hzo salamu
  12. sanchez255

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Biashara ya magazeti

    Kumbe wasomaji wa magazeti nao wanakua na Nyakati?
  13. sanchez255

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Nataka kujua hilo swali language ndo lipoje.
  14. sanchez255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania To Paprika, I love you so much listen to me Dear..!!

    Haya sasa
Back
Top Bottom