Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Wadau nahitaji glass ya nyuma ya samsung s7 edge , nataka niibadilishe ya sasa ina creck
 
nina shida na hyi ya xiaomi mi note lte
nipo Mara simu ni 0654444064
486ba77b0844316f24e7f61c17672e57.jpg
c5832ae436d56b9b5373012093162c1f.jpg
 
Msaada jamani Nina simu kutoka USA lkn haisomi line za kwetu hapa nipeni maujanja namna ya Ku unlock. Simu ni Samsung on5

lazima uwe na professional tool like z3x, chimera, octoplus nk... kama ni mtumiaji wa kawaida ni vema ukampa tu fundi hyo kazi. kama cmu inadai unlock codes ukiweka sim card ya bongo bac unaweza nunua unlock codes online but gharama itakuwa ni kubwa mno
 
  • Thanks
Reactions: _ID
natafuta saketi ya SAMSUNG J7 PRIME ambayo ni G610F... mwenye nayo pls nicheki kwa 0717458447...
 
Wakuu kioo cha Samsung og bei yake ni shi ngap dukani ..kwa hapa Arusha? Na kwa Dar pia ningependa kufahamu.
 
Wakuu mi mteja nina htc D820ys ina tatizo la charging nilisha badilisha ic marakibao mpasaivi nshapigwa kama 100k ila ttizo bado haichaj kuna memba m1 humu kanishauri nibadil plate ya chaj ila huku nillipo mtwra ni issue izo sasa mwenye iyo plate hasa ikiwa dar tuwasiliane ili niifufue
 
kazi ya hardware ni ngumu sana na yenye lawama nyingi.

kuna simu unaweza ukaifungua ukaifunga na ikagoma kuwaka na wakati huo mteja alileta umbadlishie mic tu. na ukatemgeneza ugomvi mkubwa na mteja na akasema umembadilishia saketi na mnaweza kufikshana hata polisi mteja kama sio muelewa.

tatizo linakuwa wapi?

inamaana wakati unaifungua hiyo simu ulitoa betri bila kuzima simu. kwahiyo unapo toa betri hakikisha unazima simu.
na ikizima hivyo solution yake simu inatakiwa iende ikaflashiwe.
lakini tatizo lingine hawa mafundi software wanatuangusha sana mafundi hardware huwa hawataki kukomaa kabisa na wanapenda kazi rahisi rahisi na sijajua tatizo nini kwamba mazingira yanawabana au vipi.
kwasababu wao simu nyingi ukiwapelekea za kuflash. wanakuambia memory imekufa au kwenye computer haisomi lakini ukipima njia za usb ziko safi.

kazi ya hardware inahitaji akili yako zaidi tofauti na majamaa wanao deal na software wao kila kitu wanagoogle.

sisi upande hardware kuna baadi simu hata ugoogle vipi huwezi kupata solution hasa hizi tecno.

na ktk matatizo ya simu ambayo yanawatesa mafundi simu ni haya matatizo ya tecno.
na hii tuseme ukweli tecno na simu ya kimaskini na ndio maana kila mtanzania mwenye kipato cha chini anakimbilia.
na tecno ni simu ambayo matatizo yake ni pasua kichwa na ndio maana tatizo lolote ukiwapelekea tecno wenyewe wanakimbilia kubalisha saketi.

mm ni fundi ambaye natengeneza simu nyingi ambazo mafundi huwa wanzangu wanazishindwa.

siri ya ufundi simu.

1 ni kujua kuitumia mita vizuri 2 kujua kutumia gani vizuri 3 kuwa msafi 4 na kuwa mkweli.


kuna baadhi simu za tecno ambazo mafundi simu walisha kata tamaa kwamba hazi tengezeki lakini leo nitawapa baadhi ya solution kadri muda utakavyo kuwa unaniruhusu.
na kama hata ww utakuwa unasolution yoyote tutaomba tuzidi kusaidina.

tecno h5 p5 m3 hizi simu zimekuwa na tazizo sugu ukitaka kuiwasha tu inakuwa inajiminya button ya kujifomart

lakini mm kadri ya uwezo wangu nilijitahidi kugungundua solution ya hii tecno m3 kwa 100%.
6f06381cdf67ac7eb57f385f2952f45f.jpg


na leo nataka nianzie hapo baadaye nitaleta solution
za tecno

fake charging tecno h6 l5 l6 tecno c8 c5

harafu nitaleta solutiona ya mic ya tecno ya tecno t340 na tecno zote zina zinazotumia system ya chaji ya v3

na hizo solution huwezi kuzipata pale na zamani tulizoe solution kutoka india lakini hizo simu india hazipo kwahiyo waafrika tukomae.
a944acda1b58e4797615d8effa838260.jpg

a67f5381f1ad179f27405ce8800c3316.jpg
mimi mwenyewe sijasomea electronic lkn simu naflash vzr tu nilikuwa naingia google how to flash wanaelekeza
 
Nipo hapa kwa ajili ili kutatua matatizo yenu yote yanayouhusiana na simu smartphone na feature phone
 
Mkuu nina maswali mawili.

1. Nina Tecno yangu ya R6 ambayo line moja iko locked yaani ni tigo tuu, na line nyingine ipo unlocked, line ya tigo ina support 4G na hii ya pili ni 2G, je naweza ku upgrade hii ya pili na yenyewe iwe 4G? Na je nawezaje ku unlock line ya kwanza ili ibebe line zote?

2. Nina simu yangu pia aina ya Huawei W1, ni windows phone, hii nikiwasha inaonesha vi ring viwili, yaani vi ring kama vya setting, Je tatizo ni nini? Pia nawezaje kui flash?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom