To Paprika, I love you so much listen to me Dear..!!

Paprika member mwenzangu hapa jf
Najua sikufaham wala hunifaham, but moyo kiza kinene nimejikuta tu navutiwa na wewe.
Real ur so sweet, napenda siku moja tukutane tufahamiane nikueleze hisia zangu juu yako..
Paprika nakupenda natamani ningekufata pm nikakueleza but pm yako imefungwa, Sina mengi zaidi ya ujumbe huo na ningependa mama ungeusikiliza na kuufanyia kazi..!!
NB. Mama hujapenda nilichofanya usisite kuniambia hapa au kunitext Pm.
Ahsante......!!!

[HASHTAG]#Ray[/HASHTAG] van Boy Forever
[HASHTAG]#WCB[/HASHTAG] Forever
Haya sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom